Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Ila dah! interview aliyo fanya haikuwa ya kitoto mtoto wa kike ana ubavu kajua kuwa panga na tuseme wote wanao julikana na wasio julikana walikuwa na mushkeri au? maana wengi wali sajiliwa kwa short term lakini HONGERA kama sio movie nyingine.
 
hawa wasanii wanafanya kila kitu ili asikike kwenye media na magazeti si yeye mwenyewe aliyejitangaza ya kuwa hana kizazi leo kapata mimba mbona wanafanya filamu ya kihindi mi sia miani wasanii wa kitanzania na huwa siwasupport kwa chochote wasanii wetu ni ista facebok tittwer whatssapp media na magazeti hiyo ndo kazi wanazoziweza kwa usanii bado; KAPATA MIMBA KWA UWEZO WA ROHO MTAKATIFU aisee . SINA KIZAZI APPROVED BY FILAMU ZA WEMA NA TIMU YAKE
 
Na yeye atoe ultra sound results si alikua anadai DNA!
 
mcdonaldjr
songea/ruvuma ndiyo utajiri wao!!
.....rush there faster reaches is close to you!!!
I swear!!
Haaa haaa duh nafurahia maisha yangu kama yalivyo mkuu sio mtu wa dini sana ila nachukia ushirikina kinoma.
 
Matamu mnooo, yani maneno kaandikiwa mwingine, ila navyosmile huku sasa utadhani nimeandikiwa mimi jamani.[emoji182] [emoji182] [emoji85] [emoji85]
Mvua haijanyesha yale maeneo ya shamba? Maana ulivyoelezea ni kama joto la mvua hilo au hujagundua?
 
Zari hata asiringie miguu hiyo sio..hayo ni matende aende akamuone Daktari..guu la bia haliko hivyo
 
Umemsahau jumbe.
 
Naona nawe unazidi kunyooshwa na mtoto wa Tandale hadi unaishia kufungua uzi wa kipu.pu.
 
kwa mbwembwe hizi na maneno mazuri masikioni mwa watoto wa kike kama haya, harafu ije igundulike kuwa ilikuwa promo tu.. Itabidi wanaume malijali tupeleke posa kwa ajili ya kumuoa Idris kwa kuwa hatakua na Tofauti na wema sepetu
 
Matamu mnooo, yani maneno kaandikiwa mwingine, ila navyosmile huku sasa utadhani nimeandikiwa mimi jamani.[emoji182] [emoji182] [emoji85] [emoji85]

jamaa ana maneno matamu
Huwa tunawashikaga masikio na vitu vidogo tu, sema basi tu kuhonga vikubwa imeshakuwa fashion inabidi tuendelee tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…