Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Maisha ya wema utafikiri cinema mhhh ipo siku atagundua kwamba kuna maisha halisi age inaenda kwenye umama itakuja uzeee wakati akitaka kukatika hawezi
 
Uwiiiiiii jamani sio kwa maneno hayo matamu namna hiyo!
Bae kama utapitia hapa hebu yakopi uongezee na yale yako basi?
Hahahahahaa unaweza kujihisi dunia yote umeishika wewe.
Hongera Wema,hongera Idriss!
Idriss ana maneno laini ya kumtoa panya shimoni walaaahiiiiii

Inabidi awape kozi wanaume wa mmu
 
Hapo hakuna mimba nina hakika ni kiki ya kitu fulani kama kawaida and time will tell mtashangazwa....
 
Teh teh..We unampenda tu Idriss..Huna lolote
Sio hivyo daddy, juzi tu nimetoka kuwaambia jamani "some little things matter the most". Yani tangu nisome ujumbe wa idris nasmile tu, pata picha ikiwa ndo ujumbe nimeandikiwa mimi sasa Awwww. [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Munana akajambe mbele bana na panki lake kama shaba ranks....uzalendo kwanza.... ($300,000 mchezo)
Ha ha ha mtoto intaneshno huyo so far mama hajatoa tamko lolote
Munana anasema game imeanza a tale of two daddies
 
Ha ha ha mtoto intaneshno huyo so far mama hajatoa tamko lolote
Munana anasema game imeanza a tale of two daddies
Hana dili huyo na panki lake.....

Halafu watz jamani wamerukiaje page ya Luis full kujidhalilisha
 
Sio hivyo daddy, juzi tu nimetoka kuwaambia jamani "some little things matter the most". Yani tangu nisome ujumbe wa idris nasmile tu, pata picha ikiwa ndo ujumbe nimeandikiwa mimi sasa Awwww. [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Sio siri ujumbe mtamu ule...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…