Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh..We unampenda tu Idriss..Huna loloteMatamu mnooo, yani maneno kaandikiwa mwingine, ila navyosmile huku sasa utadhani nimeandikiwa mimi jamani.[emoji182] [emoji182] [emoji85] [emoji85]
Munana akajambe mbele bana na panki lake kama shaba ranks....uzalendo kwanza.... ($300,000 mchezo)Atulie asubiri, make luismunana nae anadai mimba kaweka yeye...
View attachment 319153 View attachment 319154 View attachment 319155
Idriss ana maneno laini ya kumtoa panya shimoni walaaahiiiiiiUwiiiiiii jamani sio kwa maneno hayo matamu namna hiyo!
Bae kama utapitia hapa hebu yakopi uongezee na yale yako basi?
Hahahahahaa unaweza kujihisi dunia yote umeishika wewe.
Hongera Wema,hongera Idriss!
Ya kwake halipii ushuru mkuu...halafu haiachi alama....kumaa ya wema ni mali ya uma kila mwanach ana haki ya kutumia
Hapana huku kwetu hakuna hata dalili ya mawingu kabisaaaaMvua haijanyesha yale maeneo ya shamba? Maana ulivyoelezea ni kama joto la mvua hilo au hujagundua?
Umeona eeeh... Some little things matter the most. .. basi tu yani[emoji8] [emoji8]Huwa tunawashikaga masikio na vitu vidogo tu, sema basi tu kuhonga vikubwa imeshakuwa fashion inabidi tuendelee tu.
Bado mbona, Lina Sanga alipiga ukunga wa kuporwa mchumbaUmemsahau jumbe.
Sio hivyo daddy, juzi tu nimetoka kuwaambia jamani "some little things matter the most". Yani tangu nisome ujumbe wa idris nasmile tu, pata picha ikiwa ndo ujumbe nimeandikiwa mimi sasa Awwww. [emoji8] [emoji8] [emoji8]Teh teh..We unampenda tu Idriss..Huna lolote
Yani mimi this time wema akidanganya atanikwaza,nimechoka cheap publicity zakeHapo hakuna mimba nina hakika ni kiki ya kitu fulani kama kawaida and time will tell mtashangazwa....
Ha ha ha mtoto intaneshno huyo so far mama hajatoa tamko loloteMunana akajambe mbele bana na panki lake kama shaba ranks....uzalendo kwanza.... ($300,000 mchezo)
Hana dili huyo na panki lake.....Ha ha ha mtoto intaneshno huyo so far mama hajatoa tamko lolote
Munana anasema game imeanza a tale of two daddies
Hahahaa yani panki ka dinning table,sijawahi kumpenda bora tu walivyoachanaMunana akajambe mbele bana na panki lake kama shaba ranks....uzalendo kwanza.... ($300,000 mchezo)
Sio siri ujumbe mtamu ule...Sio hivyo daddy, juzi tu nimetoka kuwaambia jamani "some little things matter the most". Yani tangu nisome ujumbe wa idris nasmile tu, pata picha ikiwa ndo ujumbe nimeandikiwa mimi sasa Awwww. [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Duuh!!!..Haya bana..ngoja na mm nichukue vioni hapoSio hivyo daddy, juzi tu nimetoka kuwaambia jamani "some little things matter the most". Yani tangu nisome ujumbe wa idris nasmile tu, pata picha ikiwa ndo ujumbe nimeandikiwa mimi sasa Awwww. [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Kama akiwa na Mimba labda ya huyo Muna.Ha ha ha mtoto intaneshno huyo so far mama hajatoa tamko lolote
Munana anasema game imeanza a tale of two daddies