Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

Ha ha ha mbona ujanja ujanja, Idriss alisema ana kampuni yake kaajiri watu 20 hadi mwisho wa mwaka anategemea kuajiri watu 50 kama sikosei
Kampuni vepe hailipi? Utangazaji unalipa zaidi....
Huo ndo ujanja ujanja wenyewe yaani saundi nyingi hata madame si ni ceo wa endless fame lakini anasuply lipstick dunia nzima sasahivi
 
Kwenye mkasi alisema alifaulu pcb akapangiwa udocta muhimbili ila akachomoa avute kidogo upepo
 
Mbona mkasini alisema alienda JKT ile kws mujibu wa sheria.
Na huwa wanaenda baada ya kumaliza six?
Ns
 
Fani ya utangazaji yaonekana ni rahisi sana hata Gadner hajasomea
 

Nashukuru kwa update Mkuu...sema Tanzania ukijua kutema yai unaonekana bonge la msomi.
 
acha kupotosha uyu dogo kamaliza advance pale Hill crest Mwanza na alikua anasoma PCB.
 
Duh.... ata kama Jamaa ana mambo ya kifala na amelewa ustaa ila kumzushia mtu Uongo tena katika hadhira kama hii sio poa kabisa!!!
 
l
Ha ha ha mbona ujanja ujanja, Idriss alisema ana kampuni yake kaajiri watu 20 hadi mwisho wa mwaka anategemea kuajiri watu 50 kama sikosei
Kampuni vepe hailipi? Utangazaji unalipa zaidi....
labda atakua anapiga kotekote, maana utangazaji hauchukui muda sana, kama hapo anapiga saa 12 hadi 3 asubuhi tu
 
Ana taaluma ya utangazaji.?

we hujui qualification za kuwa mwanahabar especial mtangazaj bongo ni uwe maarufu tu basi yaan aidha uwe mwanamzik. msaani wa filamu, mshind wa bahat nasibu na mengineyo basi wewe utapata kaz ya utangazaj hakuna habar za kusomea .. wakat kuna magraduate dsj na kwingineko wanakula vumbi mjin hata interview hawapat siku hz namsikia jose mara clouds ...

rejea watu kama
kina zembwela, na wengineo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…