Labda ila huyu nae akili zake kama za Wema Sepetul
labda atakua anapiga kotekote, maana utangazaji hauchukui muda sana, kama hapo anapiga saa 12 hadi 3 asubuhi tu
Uwiiiiii I thought Ile nyumba alinunua alivopiga hela ya big brother, mweh wasanii wa bongo kweli ni wanasanaa khaaaaIle alipewa zawadi na jamaa mwenye asili ya uarabuni ofa ya kukaa mwaka mzima bure wakati ameshinda big brother
Ha ha ha huyo miss Tanzania naona kachanyikiwaHahahaha madame ni big brand bidhaa zinaisha kwa kasi sasahivi anazipeleka mashariki ya mbali uko pakistan, iran na irac baada ya kuliteka soko la marekani na ulaya
Mjini kuna mambo sanaHa ha ha huo uongo uliotukuka, hivi serious kabisa ulaya waagize lipstick huku lol
View attachment 338138
Kama nilisikia alipangishiwa na yule jamaa wa HSCDon tel ile nyumba ya kigorofa sio yake
Jaman mbona kama sielewi hivi Wema hizi pesa anazopata kwa wanaume anafanyia nini? Maana ninaona anazeeka afu hakuna jipya analofanyaHuyu zile million 500 plus zimeisha...Wema sio mtu mzuri
Duh yani mawazo yangu yooote najua ile nyumba na gari Idd alinunua alivopiga heka kumbe hana nyumba mmh makubwaKama nilisikia alipangishiwa na yule jamaa wa HSC
Haha kampuni za kupiga watu picha studio nazo ni kampuni basi haha"Ha ha ha mbona ujanja ujanja, Idriss alisema ana kampuni yake kaajiri watu 20 hadi mwisho wa mwaka anategemea kuajiri watu 50 kama sikosei
Kampuni vepe hailipi? Utangazaji unalipa zaidi....
Ha ha ha mmh mjini kila mtu bossHaha kampuni za kupiga watu picha studio nazo ni kampuni basi haha"
angebaki tu kwa Raque kule alikokua anapiga kazii b4 Bba.
Hahaha Tz ukitaka hata ww kesho unaweza enda BRELA ukafungua kampuni tu easy haha hii ndio bongo!Ha ha ha mmh mjini kila mtu boss
Ha ha ha Idris kanichosha usiku huu lolHahaha Tz ukitaka hata ww kesho unaweza enda brela ukafungua kampuni tu easy haha hii ndio bongo!
[emoji23] [emoji23]