Shule yenyewe huwa wanasoma lipi laa maana? mitaala yenyewe ya mkoloni asilimia kubwa haina uhalisia wa kutosha kumuwezesha mtu kuwa full package, matokeo yake akifika kazini ni sawa na anaanza upya.. Kama umetoa ujinga kwa vidato kidogo inatosha, kila cha muhimu unajifunza kazini...