Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

Kwenye mkasi alisema alifaulu pcb akapangiwa udocta muhimbili ila akachomoa avute kidogo upepo
Hata mzungu mwenyewe hawez chomoa udocta,,,,jamaa alikuwa na dili za kuunga unga town,,hakuna cha kampun
 

Anachekesha wapi nasikia alienda Kenya kwenye show recently aliboa watu tu... zile hela za BBA ukipewa unaona nyingi ila kama mtu wa spending zinaishije fasta sasa....
 
Anachekesha wapi nasikia alienda Kenya kwenye show recently aliboa watu tu... zile hela za BBA ukipewa unaona nyingi ila kama mtu wa spending zinaishije fasta sasa....
Toka mwanzo nilishangaa sana nilipo sikia jamaa ni mchekeshaji maana nilimuona sehemu anahojiwa ana akili za kitoto kabisa na mambo ya kitoto hakuna anachojua kabisa!

Hii nchi kuwa maarufu ni rahisi.
 
Alihitaji yote hayo au alitaka kujua kama anataaluma ya utangazaji?
 
Ila wema alistahili ushindi wa mwanamke mjasiliamali bora..

Anajitahidi sana ..
 
Jaman mbona kama sielewi hivi Wema hizi pesa anazopata kwa wanaume anafanyia nini? Maana ninaona anazeeka afu hakuna jipya analofanya
kwani matumizi ya hela kwa wanawake wa ki-mjini ninini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…