Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

Huyu jamaa ni kati ya watu maarufu walio kosa malengo kabisa ..hivi huwa ana wachekesha? Maana hata kwa kingereza hachekeshi! Now ni mtangazaji hivi ata tangaza nini huyu? Dunia ina vituko sana huyu jamaa angefanya hata biashara angefanikiwa zaidi!

Alisema ana kampuni sasa sijui imefutwa na Brela? Huyu jamaa ni muongo sana.

Anachekesha wapi nasikia alienda Kenya kwenye show recently aliboa watu tu... zile hela za BBA ukipewa unaona nyingi ila kama mtu wa spending zinaishije fasta sasa....
 
Anachekesha wapi nasikia alienda Kenya kwenye show recently aliboa watu tu... zile hela za BBA ukipewa unaona nyingi ila kama mtu wa spending zinaishije fasta sasa....
Toka mwanzo nilishangaa sana nilipo sikia jamaa ni mchekeshaji maana nilimuona sehemu anahojiwa ana akili za kitoto kabisa na mambo ya kitoto hakuna anachojua kabisa!

Hii nchi kuwa maarufu ni rahisi.
 
Kaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!
Alihitaji yote hayo au alitaka kujua kama anataaluma ya utangazaji?
 
Ila wema alistahili ushindi wa mwanamke mjasiliamali bora..

Anajitahidi sana ..
 
Jaman mbona kama sielewi hivi Wema hizi pesa anazopata kwa wanaume anafanyia nini? Maana ninaona anazeeka afu hakuna jipya analofanya
kwani matumizi ya hela kwa wanawake wa ki-mjini ninini??
 
Back
Top Bottom