Huo ubuyu nimeusikia sikia kuwa Idd ni power bank mmh sijui asee ila huyo Davitorj bila hata kuambiwa mwonekano wake tu ni wa kipungaEvelyn Salt
Shosti ubuyu umekupita, hujasikia davitoj anasema jamaa anashikishwa ukuta kupata kodi ya Nyumba!!! Kwenye gomvi zao huko insta! Kifupi jamaa ni wema sepetu wakiume.
LolBora Madam anakuacha maskini ila sio yule andunje anatoa hadi uhai..
anauza lipstick sasa zinapatikana mashariki ya mbali Iran IraqJaman mbona kama sielewi hivi Wema hizi pesa anazopata kwa wanaume anafanyia nini? Maana ninaona anazeeka afu hakuna jipya analofanya
Haaa eti madam alivyosikia Dai yuko USA nae huyo akasema KISS imetua kwa Obama
Ndio maana mnaingizwaga kingi kirahis...!?Kumbe ilikua fix??? Mi nlijua ukweli....
Jana nimeona mtu anasema Idd hana nyumba, kile kigorofa chake vepe
Kafie mbeleNdio maana mnaingizwaga kingi kirahis...!?
OkKafie mbele
Uliyemtaja aliunganishiwa na JD-wa kike awe mtangazaji baada ya kumuona ana lafudhi nzuri na sauti,wakati huo jamaa ndo ameanza kumchanua upaja,amemtengeneza coz dogo alikuwa marioo siku nyingi kwa yule mama wa BURUDANI ZA NYUMBANI,ila hakuwa maarufu.Fani ya utangazaji yaonekana ni rahisi sana hata Gadner hajasomea
Hili jipu hata mnauye sijui kama ataliwezawe hujui qualification za kuwa mwanahabar especial mtangazaj bongo ni uwe maarufu tu basi yaan aidha uwe mwanamzik. msaani wa filamu, mshind wa bahat nasibu na mengineyo basi wewe utapata kaz ya utangazaj hakuna habar za kusomea .. wakat kuna magraduate dsj na kwingineko wanakula vumbi mjin hata interview hawapat siku hz namsikia jose mara clouds ...
rejea watu kama
kina zembwela, na wengineo
Kaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!
Bora kapata kazi.... apate la kufanya
Usisahau kuwa alisema June mwaka huu anategemea kununua private jetHa ha ha mbona ujanja ujanja, Idriss alisema ana kampuni yake kaajiri watu 20 hadi mwisho wa mwaka anategemea kuajiri watu 50 kama sikosei
Kampuni vepe hailipi? Utangazaji unalipa zaidi....
Una maana huyo sultan kamaliza six 2013?Mbona mkasini alisema alienda JkT ile kws mujibu wa sheria.
Na huwa wanaenda baada ya kumaliza six?
Ns