Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

Idris Sultan awa mtangazaji Choice FM

Maisha ya kuigiza no mabaya sana.kapigwa mzinga wa milioni 98,hana kaamua kuajiriwa.kijana kapata milioni 500 Leo anatumwa?
 
Evelyn Salt

Shosti ubuyu umekupita, hujasikia Davitoj anasema jamaa anashikishwa ukuta kupata kodi ya Nyumba!!! Kwenye gomvi zao huko insta! Kifupi jamaa ni Wema Sepetu wakiume.
 
Evelyn Salt

Shosti ubuyu umekupita, hujasikia davitoj anasema jamaa anashikishwa ukuta kupata kodi ya Nyumba!!! Kwenye gomvi zao huko insta! Kifupi jamaa ni wema sepetu wakiume.
Huo ubuyu nimeusikia sikia kuwa Idd ni power bank mmh sijui asee ila huyo Davitorj bila hata kuambiwa mwonekano wake tu ni wa kipunga
Maskini Big Brother pole zake, labda warumi ana nyuzi
 
UTANGAZAJI NI MOJA WAPO KATI YA KAZI AU AJIRA NGUMU SANA DUNIANI HASA KWA WENYE ULEMAVU WA KUONGEA YANI MA-BUBU.
KINYUME CHA HAPO KILA MWENYE UWEZO WA KUONGEA HUYO HAITAJI ELIMU YOYOTE ILI AWE MTANGAZAJI...NI SAWA NA KULA..YEYOTE MWENYE MDOMO MENO, ULIMI, MATE NA TUMBO...HUYO ANAWEZA KULA.
 
Fani ya utangazaji yaonekana ni rahisi sana hata Gadner hajasomea
Uliyemtaja aliunganishiwa na JD-wa kike awe mtangazaji baada ya kumuona ana lafudhi nzuri na sauti,wakati huo jamaa ndo ameanza kumchanua upaja,amemtengeneza coz dogo alikuwa marioo siku nyingi kwa yule mama wa BURUDANI ZA NYUMBANI,ila hakuwa maarufu.
 
we hujui qualification za kuwa mwanahabar especial mtangazaj bongo ni uwe maarufu tu basi yaan aidha uwe mwanamzik. msaani wa filamu, mshind wa bahat nasibu na mengineyo basi wewe utapata kaz ya utangazaj hakuna habar za kusomea .. wakat kuna magraduate dsj na kwingineko wanakula vumbi mjin hata interview hawapat siku hz namsikia jose mara clouds ...

rejea watu kama
kina zembwela, na wengineo
Hili jipu hata mnauye sijui kama ataliweza
 
Huyu kweli hakuwa na chakufanya maana kama alikuwa nacho hawezi kufanya kazi ya utangazaji kwa muda wa saa 12:00 - 3:00 ( hii maana yake itam'bidi aamke kati ya saa 10:00 - 11:00 alfajiri na kutoka kazini kati saa 3:30 - 4:00 + foleni za barabarani + kazi za dharura kazini ) kwa hesabu hizo huwezi kusimamia kampuni (kwa mujibu wake anakampuni) au hata huo uchekeshaji wake utakuwa kwenye historia.
 
Kaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!

aiseeee kweli unamjua
 
Kumbe ni kweli aliishiwa ... Fine Nahisi Utangazaji anauweza Wacha ajipatie kipato .
 
Ha ha ha mbona ujanja ujanja, Idriss alisema ana kampuni yake kaajiri watu 20 hadi mwisho wa mwaka anategemea kuajiri watu 50 kama sikosei
Kampuni vepe hailipi? Utangazaji unalipa zaidi....
Usisahau kuwa alisema June mwaka huu anategemea kununua private jet
 
Back
Top Bottom