Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mwaka wa 33 Sasa namiliki mapumbubeni tu, halafu kuna tutoto tunaaanzisha thread, wanaokaaa kwao Wana miaka 28, na kuendelea, nikimpata mama yako lazima nimuachie jeraha la moyo. Kudadeki naaapaKabisa mkuu
Maisha ni kupambana + Bahati, kuna jamaa leo ameweka thread humu amenunua gari akiwa na miaka 22Mwaka wa 33 Sasa namiliki mapumbubeni tu, halafu kuna tutoto tunaaanzisha thread, wanaokaaa kwao Wana miaka 28, na kuendelea, nikimpata mama yako lazima nimuachie jeraha la moyo. Kudadeki naaapa
Huo ni uamuzi wake ye mwenyewe kupanga kulingana na mipango yake. Ila nnachojua anavomiliki ndo hivyo nilivosema. Na nna uhakika na hilo.Kwahiyo ananyumba za kupangisha,hapohapo nae kapanga?apartment 3 chukulia anapata 2m kodi ya mwezi kwa nyumba zote.
600m inatakiwa kila siku upate 2m au zaidi kama faida kwenye mtaji huo
Tabu tupu,usikute huyo Mike alikua anampukuchua mahindi vilevileπTabu tupu vijana wa mjini bana...
Hizo nyumba ni apartment ziko round about ya kwenda ramada resort.ziko nyumba kadhaa kwenye ukuta mmoja...hiyo 600m haiwezi kumiliki hiyo nyumbaMatunda ya BBA 2014, hizi ni picha za nyumba ya Idris Sultan Dar es salaam. - Matunda ya BBA 2014, hizi ni picha za nyumba ya Idris Sultan Dar es salaam. β Millardayo.com
Tyu ndio nini?Hyo ya viatu ni fiksi tupu anadanganya,kwa mtaji upi wakati alibakiwa na gari tyu?bado hajaacha fiksi na hawezi kubadilka
Kwani ile GRS182 ilishapata mteja?Hilo gar la milion 30 ni lipi? Alinunua verosa kipind kile ndo zinatamba hapa town..
Kwa sasa anatembelea brevis
Hamna kitu kama hiko ni fix za kitaani tu kama kipindi cha Kikwete ,Nyumba kali zote zilikuwa za Riz1.Huyu muongo tyuuuh wala hana ukweli, pesa zake kafanyia mambo ya msingi sana tu,
Minachojua ana nyumba kigamboni za kupangisha zipo 3, tena 1 amepanga mtu nnae mfahamu kabisaa,
Kapanga nyumba nzma lak 6 per month.
Pia ana dala dala zinazopiga route hapa jijini Dar.
Kawadanganya wabongo maan ndo anajua nn wanapenda kusikia.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
ni hasira, chuki, roho mbaya au nini
mana kama ameshainuka na amejifunza kutokana na makosa ..then u stupidity wake unatokea wapi.
Mkuu, mie siongei ili mradi au nidanganye iweje? Hiyo nyumba 1 aliyepanga nnaemfaham, nshaishuhudia na n kali sanaaah,Hamna kitu kama hiko ni fix za kitaani tu kama kipindi cha Kikwete ,Nyumba kali zote zilikuwa za Riz1.
Huyo Idris kachezea pesa , alipata pesa kwenye umri mdogo na bado alikuwa na wenge la kushika pesa nyingi ,hivyo akazitapakanya vizuri tu,mambo ya kupoteza kwenye madini ni uongo mtupu.
Nyumba gani ya kupanga laki6? Hivi unajua nyumba ya kupanga laki 6 kwa mwezi cost yake ya kuinjenga? Halafu unasema anazo tatu??? r u serious? Nyumba ya kupanga kwa laki 6 cost zake moja ni zaidi ya uwekezaji wa 300m.
Ni story tu za vijiweni , huyo mshikaji wako kapangwa tu na madali kwamba hii nyumba ni ya idris ili aingizwe king kupanga....Ni technics tu za madalali ,hata ukiwa unatafuta kiwanja utapelekwa watakwambia kiwanja cha mbele ni cha sirro ,kingine cha mbele ni cha murot , utaambiwa kiwanja pembeni ni cha kova ili mradi tu ununue tu.Mkuu, mie siongei ili mradi au nidanganye iweje? Hiyo nyumba 1 aliyepanga nnaemfaham, nshaishuhudia na n kali sanaaah,
Km kudangany labda huyu mpangaji kanipiga fix kuwa lak 6 kumbe not,
Na yeye ndo kanambia kuwa anazo zingne 2.
Kuhusu dala dala nilisikia kwa mtu mwingne kabisaa tena nae anahusika na mambo ya social media plus kuwa karibu na huyo idrisa, nae pia akanambia kuwa idrisa ana nyumba kigamboni.
Hapo ndo nikaamini kuwa kweli.
Sasa sijui wee unanipinga kwa kipi, ila any way tusibishane maisha n yake, vyovyote vile ilivyo ni juu yake.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app