Idris Sultan: Milioni mia sita ziliisha nikashindwa mpaka kulipa kodi nikarudi kwa mamdogo Kimara

Idris Sultan: Milioni mia sita ziliisha nikashindwa mpaka kulipa kodi nikarudi kwa mamdogo Kimara

Huyu muongo tyuuuh wala hana ukweli, pesa zake kafanyia mambo ya msingi sana tu,

Minachojua ana nyumba kigamboni za kupangisha zipo 3, tena 1 amepanga mtu nnae mfahamu kabisaa,
Kapanga nyumba nzma lak 6 per month.

Pia ana dala dala zinazopiga route hapa jijini Dar.

Kawadanganya wabongo maan ndo anajua nn wanapenda kusikia.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Nnachojua mpaka sahv,

Wema ana mChango mkubwa ktk kufilisika kwa IDRIS.

Asitake kutuona wote wapumbavu,

kana kwamba wema alkua pale kwa MAPENZ ya dhati.

Mbona alipofulia, fasta wema akachapa mwendo
Huwezi kumlaumu Wema, Wanawake wameumbwa kutumbua.....Wema alicheza tu pati yake, alipokamilisha huyooo...kama Nyuki akatafuta ua lingine.
 
Huyu muongo tyuuuh wala hana ukweli, pesa zake kafanyia mambo ya msingi sana tu,

Minachojua ana nyumba kigamboni za kupangisha zipo 3, tena 1 amepanga mtu nnae mfahamu kabisaa,
Kapanga nyumba nzma lak 6 per month.

Pia ana dala dala zinazopiga route hapa jijini Dar.

Kawadanganya wabongo maan ndo anajua nn wanapenda kusikia.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ananyumba za kupangisha,hapohapo nae kapanga?apartment 3 chukulia anapata 2m kodi ya mwezi kwa nyumba zote.
600m inatakiwa kila siku upate 2m au zaidi kama faida kwenye mtaji huo
 
Back
Top Bottom