ighaghe
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,286
- 3,203
Shida si kawekeza wapi, shida ni kuachana na akili yake ukamkabidhi mtu pesa zooote akufanyie biashara. Alitumia akili ya uchekeshaji kwenye biashara.Million mia sita ushindwe hata kuinvest kwenye real estate potelea mbali bishara zingine.
Au wewe unadhani jibu gani linamfaa?