Idris Sultan: Milioni mia sita ziliisha nikashindwa mpaka kulipa kodi nikarudi kwa mamdogo Kimara

Heeeeh makubwa bas km ndo hivyo, ila mie ndo nkajua hivi,
Lakini tumuamini mwenyewe idrisa km alivyosema, maan ndo anaujua ukweli wote.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Daaah So Sad....

Stori za habari ya "kizwazwa" km Hizi tukizisikia sisi MASELA tunasonya kwa nguvu,kupiga ngumi mti ulio maskani na kutema mate kulia.

All and All UKIKOSA MALEZI BORA UTOTONI ndio madhara yake hayo.....

Muonee Sana WIVU Yule Kijana Wa KIUME aliyepata bahati wakati wa UTOTO WAKE kuwa na BABA BORA...si baba tu....

Bali BABA BORA mwenye kujitambua na ALIYE KARIBU NA MWANAYE HUYO WA KIUME.....

Father Figure ikikosekana huwa ni majuto baadae kwa mfano;

1.Humfanya mtoto wa KIUME kuwa na nguvu za mwili TU na kukosa NGUVU ZA MOYO.
2.Humfanya mtoto wa KIUME kukosa nidhamu ya maisha kwa ujumla, hasa Katika MATUMIZI YA PESA.
3.Huweza Kumfanya mtoto wa KIUME kuweza HATA kuwa DHEHA(Bwabwa,Ms....e Smart,mchicha mwiba).
4......…................…....
5......….......................
6..................................
Etcetera

Hakika MAISHA ya dunia ni safari ndefu inayohitaji DISCIPLINE......


Discipline Discipline Discipline.


Jumbe Brown,
Kijana Muuza Al Kasus,
Tandale Kwa Mtogole.
 
Huyu ni mwongo na bado anaendelea kuongea uongo[emoji57]

Atajijua bana, eti million 300 za viatu fyo fyo mfyuu[emoji57][emoji57]
 
[emoji16][emoji16]

Muone na mtege wake, huyu Wema peke ake alimpurua kama milioni 200 hivi..

Huyu mkanda wake ninao wote
Hiyo ya wema nasikia mil 200, na mie naijua ila nlichowaza labda ilikua inatoka kweny access zake alizo invest,
Wema nae km maisha tyuuh amekula, maan vibopa na sponsor wote wa maan mjini kapita nao.
Ameshindwa kujiendeleza leo analia njaa tyuuh. Khaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Huyo mwongo
Kila siku alikuwa anashinda kwa Wema Sepetu
Ila ktk hiyo interview anamsingizia mtu ambaye probably he doesn't exist [emoji23][emoji23][emoji23]
Hela yote kapuruswa na Keki ya Taifa
 
Heeeeh makubwa bas km ndo hivyo, ila mie ndo nkajua hivi,
Lakini tumuamini mwenyewe idrisa km alivyosema, maan ndo anaujua ukweli wote.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Huo ndio ukweli ,kwa tabia za wasanii kwa kutaka sifa angekuwa kila siku anapiga picha hizo nyumba anaweka instagram au haujaona hapo kasema ndani ya mwaka kaingiza 300m kwa kuuza viatu? Huyo jamaa zile 600m kazitafuna zote,mtu mwenye daladala na nyumba tatu zinazomuingizia 1.8m(nyumba) + >4.4m (Costa mbili @ 160,000/= kwa siku)=6.2m kwa mwezi asingewaza kwenda kuomba ajira angejikita kukuza biashara zake.
 
Huyo nae gundu tu, zaidi ya CK ana mwanaume gani mwingine wa maana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…