Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mangi aithee..
idris ni msukumaIdris sio mangi, atakuwa MTU wa singida
Sio msukuma[emoji23]Ni Mzigua Wa Tanga huyo...ila wamekulia Arusha sana..hata kuzaliwa na kusoma pia wameanza kusoma Arusha...idris ni msukuma
Hahahahaaa.....Kuna watu hamuishiwi vituko aisee.
sihitaji mashine ya kusaga hela kwanguMshindi wa Shindano la Big Brother Africa
Idris Sultan ameamua kukiri wazi kuwa
kipindi yupo kwenye mahusiano na Miss
Tanzania 2006 Wema Sepetu alikumbwa na
ukata.
View attachment 464458
Kupitia kipindi cha Clouds e cha Clouds Tv
Idris Sultan amesema wakati yupo kwenye
mahusiano yake yaliyopita na mrembo
Wema Sepetu alikuwa kwenye Ukata hivyo
nilijikuta sifanyi vitu vya maana kuliko
kipindi hiki ambapo yupo Single.
“ Wakati nipo kwenye mahusiano yangu
yaliyopita niliyumba kidogo kiuchumi kwani
sikuwa nafanya mambo mengi ya muhimu
kuliko sasa hivi kwani hata watu wangu wa
karibu watakueleza hivyo,nafurahi niko
single na naendelea kupambana“Alisema
Idris.
Ikumbukwe idris alishinda tsh milioni 500 za kitanzania kwenye shindano la big brother Africa.
Idris sasahivi ni mtangazaji wa choice FM
Tulia Wema Sepetu yule hakutafuta kwa Jasho lake.Binadamu bhana alizitafuta kwa jasho lake,hakuna aliyemkopesha wala kumpa,na sasa kama HANA bado yeye ndio muamuzi wa maisha yake kama ilivyo kwa wewe na mimi,kila mtu atapambana kwa ajili ya maisha yake.
Hapo umefurahi sana,basi poa wa kisarawe,mwanaromango,Nzenga,Masaki,Samvula chore hadi mfuru.Tulia Wema Sepetu yule hakutafuta kwa Jasho lake.
Hujui kuwa tulikuwa busy kumpigia kura?!
ALIKUWA na ukata gani huyu aliyekuwa anakula na kulala bure, HAWA huwa wanajisahau sana,HAWA ni vijana wa kuokota dodo ktk mwarobaini halafu hawastuki.Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa
Idris Sultan ameamua kukiri wazi kuwa
kipindi yupo kwenye mahusiano na Miss
Tanzania 2006 Wema Sepetu alikumbwa na
ukata.
View attachment 464458
Kupitia kipindi cha Clouds e cha Clouds Tv
Idris Sultan amesema wakati yupo kwenye
mahusiano yake yaliyopita na mrembo
Wema Sepetu alikuwa kwenye Ukata hivyo
nilijikuta sifanyi vitu vya maana kuliko
kipindi hiki ambapo yupo Single.
“ Wakati nipo kwenye mahusiano yangu
yaliyopita niliyumba kidogo kiuchumi kwani
sikuwa nafanya mambo mengi ya muhimu
kuliko sasa hivi kwani hata watu wangu wa
karibu watakueleza hivyo,nafurahi niko
single na naendelea kupambana“Alisema
Idris.
Ikumbukwe idris alishinda tsh milioni 500 za kitanzania kwenye shindano la big brother Africa.
Idris sasahivi ni mtangazaji wa choice FM
Je ulimpa Ushauri huu akakataa?Akili ni nywele,jamaa alikuwa photographer, angewekeza mil150 kwenye mobile studio ya kisasa,na m50 kwenye marketing,kulipa madalali wa kazi na kulipa workers katika muda fulani then akaingia mzigoni,kwa popularity yake hakuna deal ambayo ingemkosa dar,kila harusi etc ingekuwa kampuni yake inakamata....sasa akataka kushindana na kipochi manyoya ilhali hakuna mwanaume aliyepigana na papuchi akashinda hata Mike Tyson na ngumi zake kwa papuchi alisanda!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka Sana hii umefikiria nini kaka....!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli idriss katia aibu saa hivi kila makabila yana kataa kujihusisha naye
Atajikuta baadaye siyo mtanzania
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka Sana hii umefikiria nini kaka....!!
[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngosha huyoooo!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli idriss katia aibu saa hivi kila makabila yana kataa kujihusisha naye
Atajikuta baadaye siyo mtanzania
Kina ngosha wanakanusha eti.kwao hawana mtu kama huyo[emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngosha huyoooo!!!
ngosha wa mwanza huyooiKina ngosha wanakanusha eti.kwao hawana mtu kama huyo
Hahaha