Idris Sultan: Nilipokuwa na Wema Sepetu nilikumbwa na Ukata

Idris Sultan: Nilipokuwa na Wema Sepetu nilikumbwa na Ukata

Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa
Idris Sultan ameamua kukiri wazi kuwa
kipindi yupo kwenye mahusiano na Miss
Tanzania 2006 Wema Sepetu alikumbwa na
ukata.
View attachment 464458
Kupitia kipindi cha Clouds e cha Clouds Tv
Idris Sultan amesema wakati yupo kwenye
mahusiano yake yaliyopita na mrembo
Wema Sepetu alikuwa kwenye Ukata hivyo
nilijikuta sifanyi vitu vya maana kuliko
kipindi hiki ambapo yupo Single.
“ Wakati nipo kwenye mahusiano yangu
yaliyopita niliyumba kidogo kiuchumi kwani
sikuwa nafanya mambo mengi ya muhimu
kuliko sasa hivi kwani hata watu wangu wa
karibu watakueleza hivyo,nafurahi niko
single na naendelea kupambana“Alisema
Idris.
Ikumbukwe idris alishinda tsh milioni 500 za kitanzania kwenye shindano la big brother Africa.
Idris sasahivi ni mtangazaji wa choice FM
sihitaji mashine ya kusaga hela kwangu
 
Binadamu bhana alizitafuta kwa jasho lake,hakuna aliyemkopesha wala kumpa,na sasa kama HANA bado yeye ndio muamuzi wa maisha yake kama ilivyo kwa wewe na mimi,kila mtu atapambana kwa ajili ya maisha yake.
Tulia Wema Sepetu yule hakutafuta kwa Jasho lake.

Hujui kuwa tulikuwa busy kumpigia kura?!
 
Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa
Idris Sultan ameamua kukiri wazi kuwa
kipindi yupo kwenye mahusiano na Miss
Tanzania 2006 Wema Sepetu alikumbwa na
ukata.
View attachment 464458
Kupitia kipindi cha Clouds e cha Clouds Tv
Idris Sultan amesema wakati yupo kwenye
mahusiano yake yaliyopita na mrembo
Wema Sepetu alikuwa kwenye Ukata hivyo
nilijikuta sifanyi vitu vya maana kuliko
kipindi hiki ambapo yupo Single.
“ Wakati nipo kwenye mahusiano yangu
yaliyopita niliyumba kidogo kiuchumi kwani
sikuwa nafanya mambo mengi ya muhimu
kuliko sasa hivi kwani hata watu wangu wa
karibu watakueleza hivyo,nafurahi niko
single na naendelea kupambana“Alisema
Idris.
Ikumbukwe idris alishinda tsh milioni 500 za kitanzania kwenye shindano la big brother Africa.
Idris sasahivi ni mtangazaji wa choice FM
ALIKUWA na ukata gani huyu aliyekuwa anakula na kulala bure, HAWA huwa wanajisahau sana,HAWA ni vijana wa kuokota dodo ktk mwarobaini halafu hawastuki.
JINA la WEMA limewatoa vijana wengi sana ,LAKINI BAHATI mbaya vijana HAWA hawajui kuishi na WANAWAKE ,ILA kama wangejitambua wangefika MBALI zaidi.NADHANI KWA SASA WEMA ANA KILA SABANU YA KUPATA MWANAUME MWENYE MSIMAMO WA MAISHA ,DINI NA KUACHANA KABISA NA WASANII.
MIMI BINAFSI NAMTAFUTA WEMA NIPATE KUMUELEZA JAMBO !
WASANII NI KAMA WATOTO!
 
Akili ni nywele,jamaa alikuwa photographer, angewekeza mil150 kwenye mobile studio ya kisasa,na m50 kwenye marketing,kulipa madalali wa kazi na kulipa workers katika muda fulani then akaingia mzigoni,kwa popularity yake hakuna deal ambayo ingemkosa dar,kila harusi etc ingekuwa kampuni yake inakamata....sasa akataka kushindana na kipochi manyoya ilhali hakuna mwanaume aliyepigana na papuchi akashinda hata Mike Tyson na ngumi zake kwa papuchi alisanda!
Je ulimpa Ushauri huu akakataa?
Maana ni Ushauri mzuri sana!
 
Back
Top Bottom