Idris Sultan: Nilipokuwa na Wema Sepetu nilikumbwa na Ukata

sihitaji mashine ya kusaga hela kwangu
 
Binadamu bhana alizitafuta kwa jasho lake,hakuna aliyemkopesha wala kumpa,na sasa kama HANA bado yeye ndio muamuzi wa maisha yake kama ilivyo kwa wewe na mimi,kila mtu atapambana kwa ajili ya maisha yake.
Tulia Wema Sepetu yule hakutafuta kwa Jasho lake.

Hujui kuwa tulikuwa busy kumpigia kura?!
 
ALIKUWA na ukata gani huyu aliyekuwa anakula na kulala bure, HAWA huwa wanajisahau sana,HAWA ni vijana wa kuokota dodo ktk mwarobaini halafu hawastuki.
JINA la WEMA limewatoa vijana wengi sana ,LAKINI BAHATI mbaya vijana HAWA hawajui kuishi na WANAWAKE ,ILA kama wangejitambua wangefika MBALI zaidi.NADHANI KWA SASA WEMA ANA KILA SABANU YA KUPATA MWANAUME MWENYE MSIMAMO WA MAISHA ,DINI NA KUACHANA KABISA NA WASANII.
MIMI BINAFSI NAMTAFUTA WEMA NIPATE KUMUELEZA JAMBO !
WASANII NI KAMA WATOTO!
 
Je ulimpa Ushauri huu akakataa?
Maana ni Ushauri mzuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…