Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchongo Tena Ndugu? Dogo kapewa 550m kaishia kula kipochi manyoya Na mfereji Maringo.Dogo mpumbavu...Na nina hakika zile 500 huwa hawapewagi zote lazma kuna mambo ya michongo mle huenda alikula 300 tu ila si haba..Itabaki kuwa siri yake!
Hiyo avatar inakuaje mkuuBora kawekw wazi
[emoji16][emoji16]Hapo umefurahi sana,basi poa wa kisarawe,mwanaromango,Nzenga,Masaki,Samvula chore hadi mfuru.
Pia imenichekesha hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka Sana hii umefikiria nini kaka....!!
Wahenga walisema, mali bila daftari, hupotea bila habari.Dah.. Hivi mtu anaweza kushika milioni mia tano afu akarudi kuajiriwa tena kwa mshahara mbuzi!
Sasa kuhonga Ndo uandike kwenye daftari? Jitathmini wewe , kuhonga unatoa tu Wala hujiulizi tena ukute umepanuliwa jicho asee wewe ni kumwaga mihela tu. Madam mwenyewe akili Hana. Pamoja na mihela yote bado Hana la maana alilofanya zaidi ya pochi Na mawigiWahenga walisema, mali bila daftari, hupotea bila habari.
Kama hujawahi kushika milioni hizo utaziona nyingi sana.
Kama umewahi kushika, mtu akishika hela halafu zikaisha bila kuonekana cha maana hutashangaa sana.
Methali ni tafsida.Sasa kuhonga Ndo uandike kwenye daftari? Jitathmini wewe , kuhonga unatoa tu Wala hujiulizi tena ukute umepanuliwa jicho asee wewe ni kumwaga mihela tu. Madam mwenyewe akili Hana. Pamoja na mihela yote bado Hana la maana alilofanya zaidi ya pochi Na mawigi
Tumekusoma muhenga. Wacha tukajenge. Naona Kona baa biashara imeanza kurejeaMethali ni tafsida.
Ukiambiwa daftari si lazima liwe daftari la kuandikia.
Zaidi, ya kuhonga mwanamme mmoja hayasemwi na mwanamme mwingine.
Kusema hayo ni kuvunja miiko ya jando kiumeni.
Sent from my Kimulimuli
Idris sio mangi, atakuwa MTU wa singida
hahaaàaAkili ni nywele,jamaa alikuwa photographer, angewekeza mil150 kwenye mobile studio ya kisasa,na m50 kwenye marketing,kulipa madalali wa kazi na kulipa workers katika muda fulani then akaingia mzigoni,kwa popularity yake hakuna deal ambayo ingemkosa dar,kila harusi etc ingekuwa kampuni yake inakamata....sasa akataka kushindana na kipochi manyoya ilhali hakuna mwanaume aliyepigana na papuchi akashinda hata Mike Tyson na ngumi zake kwa papuchi alisanda!
huyu mangi aithee..
We kweli umevurugwa kwa kipi hasa pale.....lile tako bandia au yale macho yake ya paka (fake) au ile miguu yake ka toothpick .....kipi kinachokutetemesha mpk utumie hela zako bila sababuKiukweli wala simlaumu idriss,kwa ule mzigo wa wema na Mimi nikipata hela lazima anifilisi kidogo.....ule mzigo hatari jamani ,nyie ujadilini tu hivihivi ktk mitandao usikutane nao live,,Mungu atusaidie