VAN HEIST
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 1,434
- 615
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna uzi mmoja uliwekwa juzi wanasema Wema anasomea petrolium engineering...huyu dada ana matatizo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna uzi mmoja uliwekwa juzi wanasema Wema anasomea petrolium engineering...huyu dada ana matatizo sana
Mr.nice ni kabila gani¿?????HUYU SIO MANGI.
HAKUNA MANGI MPUMBAVU HIVI. MILIONI 500 UNATUMBUKIZA CHOONI AISEEE. MANGI AKIPATA M10 TU ANATUSUA.
KUDADEKI ZAKE IDRIS.
Wema akiongea kitu lazima wewe unayemsikiliza ujiongeze, mimi huwa nikisikia habari kama hiyo basi sitomlaumu Wema, bali aliyeitoa hiyo habari hadharani.Kuna uzi mmoja uliwekwa juzi wanasema Wema anasomea petrolium engineering...huyu dada ana matatizo sana
[emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] ngojea team wema wakuskieeeWema mbayaaaaaaaaaa
mkuu big up umefikilia mbali sana , na umetabiri kitu flani mbeleni hivii [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mr.nice ni kabila gani¿?????
Watoto wa shangazi ni waongoo.Hiyo radio take home ni tsh.40,000 per month...
Mtoto wa shangazi yangu yuko pale..
Hahaha mil500 angefungua radio yake. ogopa sana papuchi *****Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa
Idris Sultan ameamua kukiri wazi kuwa
kipindi yupo kwenye mahusiano na Miss
Tanzania 2006 Wema Sepetu alikumbwa na
ukata.
View attachment 464458
Kupitia kipindi cha Clouds e cha Clouds Tv
Idris Sultan amesema wakati yupo kwenye
mahusiano yake yaliyopita na mrembo
Wema Sepetu alikuwa kwenye Ukata hivyo
nilijikuta sifanyi vitu vya maana kuliko
kipindi hiki ambapo yupo Single.
“ Wakati nipo kwenye mahusiano yangu
yaliyopita niliyumba kidogo kiuchumi kwani
sikuwa nafanya mambo mengi ya muhimu
kuliko sasa hivi kwani hata watu wangu wa
karibu watakueleza hivyo,nafurahi niko
single na naendelea kupambana“Alisema
Idris.
Ikumbukwe idris alishinda tsh milioni 500 za kitanzania kwenye shindano la big brother Africa.
Idris sasahivi ni mtangazaji wa choice FM
Nikikumbuka ile scandal ya kwamba wema ana mimba walivyokuwa wanahojiwa na diva ala za roho duh aibu yao
Dogo mpumbavu...Na nina hakika zile 500 huwa hawapewagi zote lazma kuna mambo ya michongo mle huenda alikula 300 tu ila si haba..Itabaki kuwa siri yake!Mimi sielewi kabisa. Unashindaje mil 500 Halafu unafulia mpaka unataka kuajiriwa tena?
Asa unabisha nini wakati nachungulia salary slip zao..Watoto wa shangazi ni waongoo.
Hahahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo wema anatafuna pesa km crusher la mgodini......bora dogo kapaa
Hilo suala hata mimi linanishangaza, yaani sijaona boya kama huyo jamaaDah.. Hivi mtu anaweza kushika milioni mia tano afu akarudi kuajiriwa tena kwa mshahara mbuzi!