Idris Sultan: Nilipokuwa na Wema Sepetu nilikumbwa na Ukata

Wema si demu wa kuishi naye.....ana pepo la ufirisi na ndiyo maana Domo toto la Kiha likashituka mapemaaaaaa na kukimbia.
 
Dogo Alianza kufilisika Kwa Yule Samantha M-South!
 
Bado nashangaa kwanini wanaume uchwara wanazidi kuchezewa akili na mademu majinamizi au ni kwa ajili ya zile shanga za dawa kiunoni ndizo zinawapagaisha? Kuna demu wa kuwa naye na demu wa kumpiga vidole au kuchezea usiku kucha kisha kumtupa mto Ruvu baada ya hamu. Dogo alijitakia mwenyewe, sina huruma naye.
 
Dah.. Hivi mtu anaweza kushika milioni mia tano afu akarudi kuajiriwa tena kwa mshahara mbuzi!
Wahenga walisema, mali bila daftari, hupotea bila habari.

Kama hujawahi kushika milioni hizo utaziona nyingi sana.

Kama umewahi kushika, mtu akishika hela halafu zikaisha bila kuonekana cha maana hutashangaa sana.
 
Sasa kuhonga Ndo uandike kwenye daftari? Jitathmini wewe , kuhonga unatoa tu Wala hujiulizi tena ukute umepanuliwa jicho asee wewe ni kumwaga mihela tu. Madam mwenyewe akili Hana. Pamoja na mihela yote bado Hana la maana alilofanya zaidi ya pochi Na mawigi
 
Methali ni tafsida.

Ukiambiwa daftari si lazima liwe daftari la kuandikia.

Zaidi, ya kuhonga mwanamme mmoja hayasemwi na mwanamme mwingine.

Kusema hayo ni kuvunja miiko ya jando kiumeni.

Sent from my Kimulimuli
 
Tumekusoma muhenga. Wacha tukajenge. Naona Kona baa biashara imeanza kurejea
 
hahaaàa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli wala simlaumu idriss,kwa ule mzigo wa wema na Mimi nikipata hela lazima anifilisi kidogo.....ule mzigo hatari jamani ,nyie ujadilini tu hivihivi ktk mitandao usikutane nao live,,Mungu atusaidie
We kweli umevurugwa kwa kipi hasa pale.....lile tako bandia au yale macho yake ya paka (fake) au ile miguu yake ka toothpick .....kipi kinachokutetemesha mpk utumie hela zako bila sababu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…