Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Hahahaa Idris amekumbuka 500m zilivyoisha fasta.Baada ya Wema Sepetu maarufu kama TZ Sweetheart kumtambulisha mwanaume wake anayesemekana kwamba ni rubani, Idris Sultan ambaye aliwahi kutoka na mwanamke huyo amemtahadharisha mpenzi huyo wa Wema kwamba awe makini kwa maana sio mzuri kwenye maswala ya fedha.
Huyo mpuuzi kaitapakanya 500m hivi hivi,Idris ilikuwa sio mtu wa Kutafuta matangazo Insta,ilitakiwa awe anarun Kampuni kubwa tu kama CEO huku akiajiri vijana wakimfanya kazi.Nlijua
Idris hawezi sahau ile 500million ya BIG BROTHER ilivoyeyuka kimiujiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia wolper anahonga Sana. Halafu mange alipost mahali wolper anakoboa Hadi vidume. NI kweli? But rafiki was karibu was Wema anasema Wema ndio kidume.
Hahahaa Idris amekumbuka 500m zilivyoisha fasta.
Watu hubadilika kutokana na mapito, umri kujjifunza n. K.
Naimani Wema atabadilika.
Danzak ni mwanaume hapo akishindwa ndo basi tena bibie.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wolper ni kidume ww. Na story za mjini zinadai eti ananuka K ndo maana amechagua hyo njia
Dah!mamy unanguvu gan kumdhalilisha hv mwanamke mwenzako???unajisikiaje?
Sema wewe mama.
Kuna vitu vingine akiandika mwanamke hasa mmama vina ukakasi sana basi tu.
Humu duniani kuna magonjwa ya kila aina nilisoma na mdada a level ambae hawezi kukaa ule muda wa darasa saa 1 asubuhi mpaka saa 8 bila kuoga na kubadili nguo.
Aiseee darasa nzima hamkai kwa hiyo harufu yake.
Inabidi saa 4 chap break aende hostel akaoge abadili nguo na alikuwa msafi hatari tola mdogo hayo ndo maisha yake.
Alikuja kupata tiba ukubwani na hiyo kwake ni historia tu.
Sometimes watu wanakuwa na mabeef yao au wivu tu wanaamua kusambaza kashfa ili mtu ajifariji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wema Ndio alimuacha. Kifupi alikuwa na idris bado akawa anasagana.
Nafanya declaration of interest Kabisa niliwahi kumsapoti wema sana hadi kutoa hela yangu mfukoni....nilitukanwaaa sana hapa JF kwa ajili yake lakini nilichokuja kugundua Kumbe sikupawa kutumia nguvu zote zile kumsapoti mtu asiyjitambua na jeuri kupindukia. Kwakweli kwa Sasa huwa sisapoti chochote kuhusu wema Wala hujakosea.
Anhaaaa
Dah!mamy unanguvu gan kumdhalilisha hv mwanamke mwenzako???unajisikiaje?
U mpumbavu sana! Yaani unamsapoti malaya ilhali kuna ndugu zako wanalala njaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahaya je! Mm naona wahaya ndo mufilisi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] abadilike wapi? Ile iko damuni mufilisi by nature. Wanyiramba na wanyaturu wakike ukiwa nao kimahusiano utafilisika tu au uzikwe Kabisa. Jaribu kutafiti utaupata ukweli
Hivi na ww unaamini ni kweli kuhusu hyo smell? Hizo ni tetesi za town tu hazina uthibitisho ndo maana naweka inasemekana.
Haya nimeedit Kwa heshima yako usiniseme sana
Kwa maana hiyo yeye ndio anapaswa kubadilika au nyani haoni kunduleNlijua
Idris hawezi sahau ile 500million ya BIG BROTHER ilivoyeyuka kimiujiza
Sent using Jamii Forums mobile app