Idris Sultan Yamemfika Hapaa

Acha zako Idrissa ndo anampa Milly habari za ndani Milly anazileta uwanjani kina Dougie wanaanza kumchamba Milly mwisho wanarudi kwa Idriss.Mwisho wa siku Idriss akwendreeee eti mchekeshaji kiiiiru
 
ilianza kwa justine na yeye kajitoa haya tusbir maana naona itakua fashion soon...
 
Hiyo hakunaga....hapo kuna watu wanatamani mama lao hata awapige tu busu la shavuni....eti aogopwe?..Labda na wanaume wa Dar mkuu ila wa mkoani na mbelezz kama Le Mbebez Le Mutuz alosema Madame ni mlaiiiniii hakunaga uoga.
 
Ni kweli....Although Iddy alishinda BBA Africa kuna waliokuwa hawamjui wakamjua pale alipompa Wema ujauzito. Mmojawapo Dadaangu tehteh
 
Mambo ya ndani kama yapi bwana. Hebu wachaga kuassume. Idriss hajawahi kusemwa kwa kutumia mambo ya ndani hata siku moja. Sana sana yeye ndo anajisemesha kuutwaaa. Dougiemasta kamsema kwa kutumia post ambayo ni yeye mwenyewe aliiweka Instagram. Hebu acheni kumblame Madam Wema kwa vitu vya kijinga!
 
Hiyo hakunaga....hapo kuna watu wanatamani mama lao hata awapige tu busu la shavuni....eti aogopwe?..Labda na wanaume wa Dar mkuu ila wa mkoani na mbelezz kama Le Mbebez Le Mutuz alosema Madame ni mlaiiiniii hakunaga uoga.
Hahahaaaa,mkuu umeniacha hoi,ila kuna ukweli kwenye hayo. Wapo ambao hawajali ametembea na wangapi ni issue ambayo wanawake wengi wanapitia sema haijulikani msululu kwa sababu sio mastaa,but issue ya sepenga ni kupangiwa life yake ya privacy na so call fans wake. Yaan hawa fans wanatamani hata wamchagulie style ya kukwichikwichi Idris
 
Kwanza huyu mwanamke alikuwa anamrudisha Diamond nyuma. .
 
Huyu kijana mjinga sana wewe unapata 500 mil shs badala ya kutulia unatafuta kasichana kaportable kameenda shule unatulia unakula maisha taratibu badala yake anatafuta kik kwa mi mama. Hawa vijana wa dar shida tupu
 
Wema alimheshimu Sana Idriss sema yeye na utoto wake tu ndo vimemharibia mana ukiangalia wema alikubali sana kushuka for the sake of love Ila inavyoonyesha wema nae alishindwa jamani
Mana mambo yote ya ndani bwana yule wakikerana anayotoa
Halafu analeta utoto eti wa kujibishana na wanawake ptuuuu!!.
Kajifanya kuzira IG haya sasa tuone kama atakick...!!!

Wiki moja nyingi tunamsahau km Richard,Mwisho na wengineo!

Awe tu mpole mwanume!!
 
Wema ni Mama Mlezi wa Bongo Movies na Watoto wa Bongo Fleva, kujenga nae uhasama wowote, popote nikutafuta kupotea mazima...
Kaka Simba kaona nyota inafifia ameanza kutafuta ushoga kwa Godmother!
Mhhh wabongo bwana,sasa simba katafuta wapi ushoga? Mkuu hivi sio wema alokuwa akicrop pics za domo kwenye matangazo yake ya black tie? Hivi sio wema alokuwa akilalamika kuwa domo anamfitini kwenye ukumbi waloandaa kwa ajili ya hy tai nyeusi? Na ni nani alotaka mambo yaishe kati yao? Sio bure ndugu utakuwa umekunywa uji wa magimbi mkuu.

Nyota ya domo imeng'ara mara dufu toka aachane na le madam.
 
Hawa watu wanachekesha sana mkuu. We waache waote ndoto za alinacha,dai yuleeee anayeya
 
Mhhh madam mwenye matusi ya nguoni ndo huyo yuko humble? Ningekuwa sijawahi ione video yake akiporomosha matusi ya nguoni kwa mlinzi ningekubali,kama tu mlinzi alikula matusi vile hao wasanii wanaosaidiwa ni kuifanya jamii ya watu kama ww waamini kuwa yu asaidia watu.
 
Hajadelete acc,nafikiri amepumzika kwa muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…