Acha zako Idrissa ndo anampa Milly habari za ndani Milly anazileta uwanjani kina Dougie wanaanza kumchamba Milly mwisho wanarudi kwa Idriss.Mwisho wa siku Idriss akwendreeee eti mchekeshaji kiiiiruJitahidi kumpamba na title ambazo hazina uzito kwa sasa. Huyo anaetoa conversation zake za private na Idris ni nani? Dougimasta, mati na akina utajipanga wameyajulia wapi hayo mambo yake ya ndani kama sio yeye ndio anawaeleza? Hao ndio viongozi wa fans/washabiki wake, na ndio hao wanaopost instagram kumtukana Idris, na before that walimtukana Dai na Zari mnoo. Wewe endelea kumsafisha Wema hapa but we all know the kind of person she is.