Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiendacho kwa mganga hakirudikwa hiyo Wema kakubali kumrudishia zile hela zake alizompurusa kutoka Big Brother.
Wema kaanza lini uganga?!kiendacho kwa mganga hakirudi
Hata mimi nilijiuliza kitu hicho hicho. Dogo inabidi ajifunze compartmentalization ili kutengenisha kazi na maisha yake binafsi ya kimapenzi. That was a stupid move. Hajui yeye kuwa na followers milioni moja yaani ni sawa bidhaa yenye jina kubwa amabye inaweza kumuingiza hela kibao yeye analeta utotoUnajua huyu dogo anakurupuka sana. Anafanya mambo bila kufikiria. sasa Safari hii itakula kwake. Kuna ule mkataba aliingia na ile kampuni ya "internet"(sina uhakika kama ni internet pekee ama ni kampuni ya simu) Kwaajili ya kuitangaza akachukua mkwanja. Sasa hajafikiria kama akifunga account yake anakiuka ule mkataba kwasababu hatokuwa na sehemu nyingine ya kuwatangaza. Hii itakula kwake soon ama afanye haraka kuifungua Account yake as soon as possible. Halafu hafikirii kwamba bila insta account yake anadhani nani angeenda kwenye show zake.? Huu ni utoto kabisa ila akikua Ataacha. Nasikia huwa anasoma soma thread zinazomuhusu humu katika forums basi naamini ujumbe kaupata na ataifungua account yake soon na kuacha utoto
DAAAAAAH!Sijui kama atafikisha! Maana amestuck kweny miaka 26 huu mwaka wa tisa. harudi nyuma haendi mbele... le madame katika ubora wake
Dogo Bora angebakia kwa yule msauz alikuwa katulia zaidi ya wemakama idris angedmu na wema mpaka leo bhas naamini,angekuwa binadamu wa kwanza kumfuga kunguru na akatulia
Tunamshauri kijana mwenzetu aliepotea njiaMbona sioni kinacho faa kujadiliwa hapa lakini naona thread imefika page ya 4
Hahaha Bro, bado nafanyaHa ha ha, Le Baharia! Umenikumbusha kitu, Benny alisema ataongea na jamaa tupate breakfast Double Tree Hilton tena kama vipi tukutane na supa moguls!
View attachment 384568 Nimemgoogle wema sepetu nimecheka sana hapo kwenye "spouse" .
Mbona sioni kinacho faa kujadiliwa hapa lakini naona thread imefika page ya 4
kweli
hapa nitaomba mama abaki
nyumbani tu, aseme
anataka nini nitaleta