Idris Sultan Yamemfika Hapaa

Idris Sultan Yamemfika Hapaa

kwa hiyo Wema kakubali kumrudishia zile hela zake alizompurusa kutoka Big Brother.
 
Unajua huyu dogo anakurupuka sana. Anafanya mambo bila kufikiria. sasa Safari hii itakula kwake. Kuna ule mkataba aliingia na ile kampuni ya "internet"(sina uhakika kama ni internet pekee ama ni kampuni ya simu) Kwaajili ya kuitangaza akachukua mkwanja. Sasa hajafikiria kama akifunga account yake anakiuka ule mkataba kwasababu hatokuwa na sehemu nyingine ya kuwatangaza. Hii itakula kwake soon ama afanye haraka kuifungua Account yake as soon as possible. Halafu hafikirii kwamba bila insta account yake anadhani nani angeenda kwenye show zake.? Huu ni utoto kabisa ila akikua Ataacha. Nasikia huwa anasoma soma thread zinazomuhusu humu katika forums basi naamini ujumbe kaupata na ataifungua account yake soon na kuacha utoto
Hata mimi nilijiuliza kitu hicho hicho. Dogo inabidi ajifunze compartmentalization ili kutengenisha kazi na maisha yake binafsi ya kimapenzi. That was a stupid move. Hajui yeye kuwa na followers milioni moja yaani ni sawa bidhaa yenye jina kubwa amabye inaweza kumuingiza hela kibao yeye analeta utoto
 
Wamemkwangua sana zile pesa za big brother,,, chezea sepetunga ,sasa dogo ubaya alikuwa anadhani anapendwa kweli kumbe ni reserve tu
 
Team wema muungisheni kandambili isijekuwa ya kiss by wema jamani....
 
kama idris angedmu na wema mpaka leo bhas naamini,angekuwa binadamu wa kwanza kumfuga kunguru na akatulia
 
Sijui kama atafikisha! Maana amestuck kweny miaka 26 huu mwaka wa tisa. harudi nyuma haendi mbele... le madame katika ubora wake
DAAAAAAH!
nimecheeeeeeeka!
so umri wa wema haungozeki wala haupungui!?
ahahahahhahahahhahahahhahahha JAMAAANI!
watu huwa mnawaza nini?
 
Screenshot_2016-08-20-07-41-23.png
Nimemgoogle wema sepetu nimecheka sana hapo kwenye "spouse" .
 
Mbona sioni kinacho faa kujadiliwa hapa lakini naona thread imefika page ya 4
 
Ha ha ha, Le Baharia! Umenikumbusha kitu, Benny alisema ataongea na jamaa tupate breakfast Double Tree Hilton tena kama vipi tukutane na supa moguls!
Hahaha Bro, bado nafanya
mazungumzo na Le baharia

na anasema ratiba yake ngumu
sana msimu huu wa fiesta na fursa
 
Sijawahi kumuelewa anachokifanya maana hata kwenye utangazaji simwelewi pia achilia mbali hiyo anayojiita mchekeshaji
 
Back
Top Bottom