Idris Sultani ndiye mshiriki wa BBA kutoka Tanzania

Ooh pole, nilijua una lengo lingine, haina noma bro, we endelea tu kunikosoa, maana mi nipo busy na umbea mambo ya kuangalia sijui nimekosea wala sijali maadam umbea umefika, karibu
 
Acha kumtafutia kiki. Relax umaarufu unakuja automatically
 
Binamu nimeona kifaa cha Edzen Dida akalale mbele alikua anamzeesha tu kijana wa watu

Mbutananga na zile chupi alizotengeneza za I love u Edzen mweeeeeee
 
Binamu nimeona kifaa cha Edzen Dida akalale mbele alikua anamzeesha tu kijana wa watu

Mbutananga na zile chupi alizotengeneza za I love u Edzen mweeeeeee

Alikuwa anazingua tu watu ile harusi alialikwa tu.. akasema alikuwa anataka aone watu watasemaje.
 
Binamu nimeona kifaa cha Edzen Dida akalale mbele alikua anamzeesha tu kijana wa watu

Mbutananga na zile chupi alizotengeneza za I love u Edzen mweeeeeee

Dida atakuwa hana hamu, halafu mtoto mkali sana yule, mbuta nanga sijui zile chupi zake itakuwaje, naona uko alipo atazimia, maana hii kwake itakuwa ni bonge la surprise
 
Hahaa binamu Cheusi dawa alikua ana haraka ya harusi hadi akasahau kuvaa vitu vya ukweee... lile sio gauni la harusi ni la kipaimara

Dah!! Uko insta anapata michambo ya haja, na yeye naona hayupo nyuma anajibu mapigo, dah, kweli hii ndoa ya mden mark imempa umaarufu wa ghafla
 
Dah!! Uko insta anapata michambo ya haja, na yeye naona hayupo nyuma anajibu mapigo, dah, kweli hii ndoa ya mden mark imempa umaarufu wa ghafla

Hahaaa nae anajibu mwee.. sa anataka asifiwe wakati kale kagauni jamani kanasikitisha mtu kuvaa in ur big day na yeye ni mtu alikua amepania saaaana
 
Lol lile gauni la Lucy na viatu wamemwambia kavaa kama anaenda kipaimara lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…