Ah dina wewe na big brother wapi na wapi ,wewe subiria ubuyu tu kutoka kwa warumi.
Ah dina wewe na big brother wapi na wapi ,wewe subiria ubuyu tu kutoka kwa warumi.
Kule hata hapanogi, kwani wanapigaga umbea kule? Kama wanapiga umbea mwakani twende best tukawakilishe mjengoni, mbona watatutoa wiki , umbea mwanzo mwisho no kulala
Kule hata hapanogi, kwani wanapigaga umbea kule? Kama wanapiga umbea mwakani twende best tukawakilishe mjengoni, mbona watatutoa wiki , umbea mwanzo mwisho no kulala
Umbea wa kiingereza unanogaga kweli.
UmenenaWasiseme watanzania next time, waseme ma half cast, sisi hatuwajui hao
Maana kazi zitakuwa mbili kula na umbea kwenda mbele
Jamaa nmesoma nae advanced level, ni mtu mmoja charming na intelligent sana, he was a man of people. Kila mtu school alikuwa anamjua. Alisoma pcb na alifaulu akachaguliwa university but ni kama akina bil gate, alighairi for his passion, i.e kuwa a big celebrity through mass media. Huo ni mwanzo tu, wakati mie naenda kuanza md tuliweka covenant na jamaa , kuwa after ten years who eill be rich than the other
Dida mchops Edzen haendi kwani?
Mifilter Kama kahaba LA kinigeria. Watoe filter tuone wakiwa naturalout of Topic, Dinazarde huyu ndo bibie julie, mtoto anasumbua sana apa mjini, ndo yule hawara wa rummy, mtoto malaya jezebel kasingiziwa