Idris Sultani ndiye mshiriki wa BBA kutoka Tanzania

Hhhaaaaaa kweli kabisa nasubiri ubuyu tu mi sijashindikana mpaka niende BB

Kule hata hapanogi, kwani wanapigaga umbea kule? Kama wanapiga umbea mwakani twende best tukawakilishe mjengoni, mbona watatutoa wiki , umbea mwanzo mwisho no kulala
 
Hhhhhaaaaaaaaa halaf yale mamsosi si yatatuua
 
Kule hata hapanogi, kwani wanapigaga umbea kule? Kama wanapiga umbea mwakani twende best tukawakilishe mjengoni, mbona watatutoa wiki , umbea mwanzo mwisho no kulala

Umbea wa kiingereza unanogaga kweli.
 
Jamaa nmesoma nae advanced level, ni mtu mmoja charming na intelligent sana, he was a man of people. Kila mtu school alikuwa anamjua. Alisoma pcb na alifaulu akachaguliwa university but ni kama akina bil gate, alighairi for his passion, i.e kuwa a big celebrity through mass media. Huo ni mwanzo tu, wakati mie naenda kuanza md tuliweka covenant na jamaa , kuwa after ten years who eill be rich than the other
 
Jamaa yupo vizuri......kila la kheri.Sijui kwann natamani Vanessa angeenda BBA
 
Jamaa nmesoma nae advanced level, ni mtu mmoja charming na intelligent sana, he was a man of people. Kila mtu school alikuwa anamjua. Alisoma pcb na alifaulu akachaguliwa university but ni kama akina bil gate, alighairi for his passion, i.e kuwa a big celebrity through mass media. Huo ni mwanzo tu, wakati mie naenda kuanza md tuliweka covenant na jamaa , kuwa after ten years who eill be rich than the other

Jamaa ana unique personal traits, so smart in head, n he knows how to carry himsself, yuko poa
 
Hivi wakati jengo linaungua kwa nini huyu ibilisi hakuwemo?
 
Anaenda ikulu kufanya kazi mwenzio

out of Topic, Dinazarde huyu ndo bibie julie, mtoto anasumbua sana apa mjini, ndo yule hawara wa rummy, mtoto malaya jezebel kasingiziwa
 
Attachments

  • 1411152151117.jpg
    1411152151117.jpg
    38.8 KB · Views: 570
Last edited by a moderator:
Heeh shekhe tena? Mbwa naona ameingia msikitini. Mine nasubiri nione nani no nani huko mjengoni. Ila mtanzania akiwa mmbea Kama feza mwaka Jana basi nitahama team. Hivi warumi Una undugu na feza? Manake umbea ule hadi kwa kiswahili alikuwa anaongea na nando.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom