Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
warumi, mimi sioni kama kuna haja ya kuruhusu ionekane kwenye chanels zetu local kwani haina mchango wowote chanya katika maadili ya vijana na watoto.Halafu sijui kwa nini wabongo wakitoka BBA tu umaarufu wao unashuka, jamaa wangefanya mpango tu show ionyeshwe ITV hadi babu zetu kule kimbiji waone mashindano, maana asilimia nyingi wa wanaofuatilia BBA ni watoto wa kishua , maana kununua dstv sio expensive sana hizo bundle sasa kuanzia hamsin kwenda mbele, wakat hyo hamsin unapat star times
Halafu sijui kwa nini wabongo wakitoka BBA tu umaarufu wao unashuka, jamaa wangefanya mpango tu show ionyeshwe ITV hadi babu zetu kule kimbiji waone mashindano, maana asilimia nyingi wa wanaofuatilia BBA ni watoto wa kishua , maana kununua dstv sio expensive sana hizo bundle sasa kuanzia hamsin kwenda mbele, wakat hyo hamsin unapat star times
Sio kama mwarabu ivi aliwahi kuigiza movie ya ray hard price?
Unataka babu na bibi zako waliopo kijijini waone wajukuu zao wanavyoga na vyupi pamoja na wanavyofanya mapenzi? Je inawasaidia kwa mfano????
Ni handaome kiaina..... halafu katika picha zake hiyo ndio nimeipenda na binamu ndio umeiweka
Ni handaome kiaina..... halafu katika picha zake hiyo ndio nimeipenda na binamu ndio umeiweka
Kwa hiyo anaenda tu yeye au na wa kike yupo
Ah dina wewe na big brother wapi na wapi ,wewe subiria ubuyu tu kutoka kwa warumi.
Ah dina wewe na big brother wapi na wapi ,wewe subiria ubuyu tu kutoka kwa warumi.