Idris Sultani ndiye mshiriki wa BBA kutoka Tanzania

Idris Sultani ndiye mshiriki wa BBA kutoka Tanzania

Somebody Veda kama sijakosea. Ni actress. Ila si maarufu kama mama ubaya...

May be hajawa supported ki vile coz hana muonekano wa kuchanganya damu kama Idriss

Sio kama mwarabu ivi aliwahi kuigiza movie ya ray hard price?
 
Idris Age: 21 Idris is a photographer from Arusha in Tanzania.

His favourite books are ‘anything by Dan Brown' and he enjoys watching The Colbert Report, Drunk History, The Daily Show and The Ellen Degeneres Show on TV. His musical tastes are quite varied: Chris Brown, Michael Jackson, Usher, Ed Sheeran, Sam Smith, Lana Del Ray and Nina Simone are his favourites.

Idris says he doesn't have one specific role model, choosing instead to take the best from every successful person he meets. That said, his Mom has influenced his life most. He's most proud of the respect he's earned by showcasing his skill and creativity in photography. He was inspired to enter Big Brother Hotshots because he wants to inspire people and make a name for myself in the process,' he says.

He feels ‘thrilled, excited and accomplished, totally special' that the continent will be watching him on the show and describes himself as ‘smart, charming, funny, flirty and creative'....❤
 
Halafu sijui kwa nini wabongo wakitoka BBA tu umaarufu wao unashuka, jamaa wangefanya mpango tu show ionyeshwe ITV hadi babu zetu kule kimbiji waone mashindano, maana asilimia nyingi wa wanaofuatilia BBA ni watoto wa kishua , maana kununua dstv sio expensive sana hizo bundle sasa kuanzia hamsin kwenda mbele, wakat hyo hamsin unapat star times
warumi, mimi sioni kama kuna haja ya kuruhusu ionekane kwenye chanels zetu local kwani haina mchango wowote chanya katika maadili ya vijana na watoto.
 
Last edited by a moderator:
Halafu sijui kwa nini wabongo wakitoka BBA tu umaarufu wao unashuka, jamaa wangefanya mpango tu show ionyeshwe ITV hadi babu zetu kule kimbiji waone mashindano, maana asilimia nyingi wa wanaofuatilia BBA ni watoto wa kishua , maana kununua dstv sio expensive sana hizo bundle sasa kuanzia hamsin kwenda mbele, wakat hyo hamsin unapat star times

Unataka babu na bibi zako waliopo kijijini waone wajukuu zao wanavyoga na vyupi pamoja na wanavyofanya mapenzi? Je inawasaidia kwa mfano????
 
Unataka babu na bibi zako waliopo kijijini waone wajukuu zao wanavyoga na vyupi pamoja na wanavyofanya mapenzi? Je inawasaidia kwa mfano????

Hahaaa umenikumbusha kuna siku tulikua tunaangalia ile ya BBA ALL STARS halafu ilikua mchana kuna mdada mshiriki kutoka Kenya Sheila alikuwa kajifunga kaka akajifunua na kuonesha Kyuma chake.. halaf nilikua nimekaa na watu wazima fulani..
 
Ni handaome kiaina..... halafu katika picha zake hiyo ndio nimeipenda na binamu ndio umeiweka

ahahah, huyu jamaa nilikuwa namfuatilia sana kipindi yupo i view pale k nyama kwa raquey, alikuwa na vitu flani ivi unique na alikuwa anapenda sana umaarufu, anajua kujibeba halafu ana confidence, kwa kule mjengoni i hope atafanya poa kama mazingira yatakuwa rafiki naye, maana kule mtu lazima uwe na swaga za maana na confidence
 
Ni ushamba tu wa wakilishi wa dstv tz kuchagua half cast kila mwaka,ina maana hao ndio wanaweza?mbona ghana,nigeria,uganda hawapeleki half cast?
 
Ni handaome kiaina..... halafu katika picha zake hiyo ndio nimeipenda na binamu ndio umeiweka

Sio handsome, ila ni mtanashati na anajua sana kuweka pose during photo shot,i can say pia ni photogenic , maana huyu jamaa anajua pozi za picha balaa, ukienda tu akikuona anajua ukae vip utokelezee na kwel unatoka bomba
 
Ni ushamba tu wa wakilishi wa dstv tz kuchagua half cast kila mwaka,ina maana hao ndio wanaweza?mbona ghana,nigeria,uganda hawapeleki half cast?

Labda wanahisi wanajua lugha ya malkia sana kuliko wabongo pure
 
Huyu ni mwarabu au?
Nitafurahi siku moja kumuona T.I.D mnyama ndani ya mjengo.

Anyways.....kila la heri kwake!
 
Sio Martin Kadinda huyo kwenye picha jamani? mwezenu nimetoka Matombo leo nisaidieni
 
Back
Top Bottom