Idris sultani si mtangazaji, bali ni mchekeshaji wa kuiga

Ipi,
Unajua matumizi ya madam kwa siku ?
Mkuu kama lengo ni kuchekesha wangekupa tu#ok back in topic huyo chalii alivyoshinda na "kuitangaza nchi" mi nikajua kijana mwenzetu katoka sasa kusikia anatafuta ajira nikajua basi zile hela huwarudia wenyewe!!!!
 
Nilianza kumkubali idris kwa mara ya kwanza kule mjengoni, alikua na character ya aina yake, toka atoke kule naona akawa anatafuta njia ya kuendelea kubaki kileleni, bahati mbaya huko kwenye comedy ndo kapotea kabisa, anachekesha kwa kubahatisha sana sio kipaji chake, labda ajaribu kuigiza serious movies nadhan zitamfaa
 
Anakera wasikilizaji tu
 
Tuna haki ya kutoa maoni idris anatangaza vibaya jamani kiukweli anamuiga mchomvu halafu mbona hachekeshi hana comedy yeyote halafu hata hiyo comedy inamshushia hadhi anaonekana kama punguani aliyejitoa akili..uko smart idris kuanzia kuvaa hadi kuongea lakini ukianza hayo macomedy yako unakera watu wanaokukubali ni wa instagram tena team wema na wanajilazimisha kucheka
 
Idris hachekeshi,ukisikia mtu kavamia fani ambayo si yake ndo huyu jamaa
 

Tatizo la Clouds ni kwamba management yake bado haijitambui...Idriss hana kigezo chochote cha utangazaji, anaongea kama ana chat fesibuku au mazungumzo ya kijiweni. Hizi redio za wauza unga kwa kweli ni sida.
 
Nasikia ana ndoto za kuenda Hollywood kupambana na akina Kevin Hart [emoji2]
 
Dogo analazimisha sana comedy, hata ile stage comedy aliyokuwepo na kina mc pilipilj aliboronga, kiufupi huwa hanivunji mbavu
 
Yaani sijui wamemuokota wapi huyu dogo,sio wivu wala nini kiufupi hajui kujibrand
 
Ahaaa kumbe wapemba wanaojua ngeli.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…