kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Wanasema ati taarifa ya habari mkuuGigy money naye mtangazaji[emoji15] [emoji15] [emoji15] wa kipindi gani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema ati taarifa ya habari mkuuGigy money naye mtangazaji[emoji15] [emoji15] [emoji15] wa kipindi gani mkuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] duuhWanasema ati taarifa ya habari mkuu
kipind cha malavidav kuanzia sa nne hii
Eti ninasikia hata kutoka na madame ilikua moja ya strategies za kubaki kileleni.Nilianza kumkubali idris kwa mara ya kwanza kule mjengoni, alikua na character ya aina yake, toka atoke kule naona akawa anatafuta njia ya kuendelea kubaki kileleni, bahati mbaya huko kwenye comedy ndo kapotea kabisa, anachekesha kwa kubahatisha sana sio kipaji chake, labda ajaribu kuigiza serious movies nadhan zitamfaa
Yaani we acha tu mkuu.yaani huo ni uzembe mkubwa wa fikra.from hero to zeroYaani mtu amepata millioni 500 lkn bado anakimbilia kuajiriwa!? Mungu tusaidie watanzania
Alipata kuwa gavana wa benki kuu nadhaniIdris ndio nani wakuu? kukaa sana Maswa huku naona mengi yananipita
Miradi ipi wakati wema Sepetu kammaliza kila kituKwanini asiachane na utangazaji asimamie miradi yake tu
Alipohojiwa alisema ana kampun ya kupiga pichaMkuu ana miradi gani huyo mtoto?? Milion 500 zote ziliisha zile
Mkuu hata mimi nashindwa kuelewa kabisa!Yaani mtu amepata millioni 500 lkn bado anakimbilia kuajiriwa!? Mungu tusaidie watanzania
Aiseee!Alipohojiwa alisema ana kampun ya kupiga picha
Dah!!!....Mkuu umenifurahisha sana aseee........mi nipo herujuu...ndio kabisaaa simjui!!!!Idris ndio nani wakuu? kukaa sana Maswa huku naona mengi yananipita
Miradi ipi?Kwanini asiachane na utangazaji asimamie miradi yake tu