Idris sultani si mtangazaji, bali ni mchekeshaji wa kuiga

Idris sultani si mtangazaji, bali ni mchekeshaji wa kuiga

Alikuwa mpiga picha mzuri tu na nina uhakika kama angekiendeleza kipaji chake kwa mtaji alioupata bhasi angekuwa mbalii sana...

Tatizo inaonekana anapenda kazi za kujulikana sana (ndo kazi wazipendazo vijana wengi wa dar )....
Anapata spotlight kupitia madam wa wasiojielewa....atakuja kushtuka huku kumeshakucha..

May God rescue him
 
Timu wema wanacheka mpaka basi,ila siku wakisikia wema na idilisa wamegombana basi jamaa hata akiwachekesha vipi hawacheki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwanini asiachane na utangazaji asimamie miradi yake tu
Ana miradi gani
1467360473744.jpg
 
Nashangaa sana hawa clouds fm kumpa ajira huyu dogo asiye na kipaji.huyu dogo anatangaza choice fm kuanzia 12:00 -01:00 mchana,ila kutangaza hajui kabisa.kwanza anazingua sana na anaiga sana ,anaongea kama Adamu mchomvu na hata zile joks zake ni kama za Mchomvu tu.kiukweli hajui hata kutangaza kabisa,na ndio maana tunasema choice fm imepoteza mvuto,sio ile ya kina Tandy,Vannesa,Chriss,yaani redio imekuwa ya hovyo na hata watangazaji nao wamekuwa ni wa hovyo
Una miaka mingapi wewe?
 
Tuna haki ya kutoa maoni idris anatangaza vibaya jamani kiukweli anamuiga mchomvu halafu mbona hachekeshi hana comedy yeyote halafu hata hiyo comedy inamshushia hadhi anaonekana kama punguani aliyejitoa akili..uko smart idris kuanzia kuvaa hadi kuongea lakini ukianza hayo macomedy yako unakera watu wanaokukubali ni wa instagram tena team wema na wanajilazimisha kucheka

Mkuu naskia siku moja alienda nairob kuchekesha mwenye hiyo clip yake ya uchekeshaji atuwekeee hapa.
 
serious guys, mimi nimfatiliaji nzuri sana was comedy za kila aina, Stand up comedies, action comedies, word/verbal comedies, any every type of comedies... At the moment namuangalia sana TREVOH NOAH na KEVIN HART ( sorry kama nime kosea uandishi wa majina yao). But this guy Idris hana comedy yoyote, Ana copy sana...
 
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12]
 
Huyu ni kichaa sio mchekeshaji!
 
Usiombe siku moja uwe millionaire and the next kapuku, kila fani utaiona yako. Muacheni atange tange. The guy gotta eat and feed 'madam' pia ambae mlo wake mmoja alisema unagharimu 30000 ni haki yake ajitoe fahamu. Nahisi muda si mrefu atakuwa mwanasiasa na yeye.
 
Back
Top Bottom