Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,151
anayo?Kwanini asiachane na utangazaji asimamie miradi yake tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Timu wema wanacheka mpaka basi,ila siku wakisikia wema na idilisa wamegombana basi jamaa hata akiwachekesha vipi hawacheki.
Kwani huyo Idris ni mkuu wa wilaya gani mbona simfaham?
Ana miradi ganiKwanini asiachane na utangazaji asimamie miradi yake tu
Una miaka mingapi wewe?Nashangaa sana hawa clouds fm kumpa ajira huyu dogo asiye na kipaji.huyu dogo anatangaza choice fm kuanzia 12:00 -01:00 mchana,ila kutangaza hajui kabisa.kwanza anazingua sana na anaiga sana ,anaongea kama Adamu mchomvu na hata zile joks zake ni kama za Mchomvu tu.kiukweli hajui hata kutangaza kabisa,na ndio maana tunasema choice fm imepoteza mvuto,sio ile ya kina Tandy,Vannesa,Chriss,yaani redio imekuwa ya hovyo na hata watangazaji nao wamekuwa ni wa hovyo
Acha kufuatilia miaka ya watu mjini,,utawafuatilia wangapiUna miaka mingapi wewe?
Tuna haki ya kutoa maoni idris anatangaza vibaya jamani kiukweli anamuiga mchomvu halafu mbona hachekeshi hana comedy yeyote halafu hata hiyo comedy inamshushia hadhi anaonekana kama punguani aliyejitoa akili..uko smart idris kuanzia kuvaa hadi kuongea lakini ukianza hayo macomedy yako unakera watu wanaokukubali ni wa instagram tena team wema na wanajilazimisha kucheka
Aisee, wamemponda sana humo ndani na angekuwa na akili angeacha kabisa.
eti idrss nae comedian!! Mara kasharukia utangazaji, huko nako watu hawamsomi sasa anataka kurukia bongo muvi..