Idris sultani si mtangazaji, bali ni mchekeshaji wa kuiga

Eti ninasikia hata kutoka na madame ilikua moja ya strategies za kubaki kileleni.
 
Ni sawa sawa na kumchkesha mtu anayedaiwa koDi ya nyumba hana analochekesha
 
Mi nasikiliza sana choice fm tangu kipindi wanaza radio yao nilikuwa naipenda sana ila sasa tangu waweke hawa watangazaji uchwala nimeacha kabisa kusikiliza huyu Idris anatangaza kama anaongea mwenyewe kiukweli wamebuki sana.
 
Kitu gani huwa kinawachekesha nyie wenzetu?
 
Hiv idris sindio type zile ambazo Makonda hazitaki kwenye jiji lake
 
Duh Bado najiuliza mara 2 mtu anapata mil 500 bado anaajiriwa hana miradi ya Maana ya kueleweka...
Ndio Maana huwa tunashauri Kabla ya kushika hela lazima uwe na ndoto flani za kufanya kitu Kama ukiwa na hela!
 
Kimsingi huyu jamaa hana jipya, no specific career inayoeleweka na inayomtambulisha mjini dizaini kama bado ntoke vipi flani huku akijitahidi kuuza sura area mbalimbali .. ila hii ya comedy pyuuuu best for nothing..
 
Jamaa alitakiwa kutenga m100 tu,ingetosha kuweka photo studio yenye heshima East Africa,na m50 za kulobby deal zote kali mjini,kisha kutafuta professionals wa kazi,saizi ingekuwa habari nyingine na sio hizi kejeli anazopata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…