Idris wa BBA abakiza million 200

Idris wa BBA abakiza million 200

Angekuwa na washauri wazuri hiyo mil 500 ingezaaa mara mbili.
 
Angenunua nyumba ya thamani ya kawaida tu atleast hta milioni 100, hyo nyngne angekuwa na uwezo hta wa kujengea sheli au biashara yoyote yenye kuingiza faida ndefu...
 
Mi nilijua atanunua walau range evoque kama ya jide?? Sasa nyumba yote hyo anapak gari amabyo warumi anatumia kwenda nayo kupiga umbea? Hapana kwa kweli sio gari hlo

Hiyo gari ilikuwa spesho kwa ajili ya kumpeleka kununua nyumba tu...
 
Mara kapewaaa mara kanunua,,,bora anunue maana vitu vya kupewa kupewa tu
 
Mi nilijua atanunua walau range evoque kama ya jide?? Sasa nyumba yote hyo anapak gari amabyo warumi anatumia kwenda nayo kupiga umbea? Hapana kwa kweli sio gari hlo

sasa warumi ushaambiwa amebakiza 200m sasa akinunua hio rr envoque si atabakiwa na 50-80m si kashafilisika hapo angalau ka-prado ka 2005 hivi kanaweza kupendeza na hilo gorofa.
 
Last edited by a moderator:
Look at this guy 5 yrs to come and start this thread again. Kupata hela, kutunza hela, kuzungusha hela, na kukuza kiwango cha hela ni vitu tofauti kabisa. Huyo kapata hela, lets wait and see kama hivyo vingine ataweza.
 
Kukaa uchi alikaa mwenyewe,sasa kipi kinafanya mtu mwingine ampangie matumizi?
Nenda na wewe katafute
 
Mi nilijua atanunua walau range evoque kama ya jide?? Sasa nyumba yote hyo anapak gari amabyo warumi anatumia kwenda nayo kupiga umbea? Hapana kwa kweli sio gari hlo

yani mtu akitaja RANGE mwili wote unasisimka na vinyolea vinasimama......naipenda RANGE jamani.....
 
Mi nilijua atanunua walau range evoque kama ya jide?? Sasa nyumba yote hyo anapak gari amabyo warumi anatumia kwenda nayo kupiga umbea? Hapana kwa kweli sio gari hlo

Hahahahaaa uwiiiiiii! warumi jamani!
 
Last edited by a moderator:
yani mtu akitaja RANGE mwili wote unasisimka na vinyolea vinasimama......naipenda RANGE jamani.....

Pole mamii.Mimi napenda BMW kama lile la diamond.Yaani nikiliona nasimama kabisa!
 
Back
Top Bottom