Idrisa abadili mawazo. Hatojiuzulu tena

Idrisa abadili mawazo. Hatojiuzulu tena

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date
Hakuna anayependa kupanda kwa bei ya umeme,lakini yeye kaambia aendeshe hilo shirika na wakati huohuo kanyimwa ruzuku.Hivi hata kama ni wewe utafanya nini? Si lazima ufuate taratibu za biashara na uchumi zinasemaje:Kama unatumia sh.200 kuzalisha unit moja huwezi kuuza sh.90 kwa unit.Lazima uuze zaidi ya sh.200. Hata akina mama wanaofanya biashara ya vitumbua wanajua hili sembuse msomi kama Dr,Idris!! Wanaopandisha bei sio akina Idris ni Viongozi wa Siasa walioingia mikataba mibovu.IPTL,Net Group,Kiwira na huu unaochunguzwa.Mie naamini huyu bwana alikuwa ameandika barua kujiuzuru ila JK kaingilia kati baada ya kuona kuna akili ndani yake.Hawa wanasiasa wanadharaulisha sana taaluma za watu.
 
nILITAKA KUJUA UKIIBA UMEME WA TANESCO UTAPATA ADHABU GANI? HIVI NDIYO WEBSITE YAO INAVYOSEMA, SIONI INAPOSEMA WATAKAT UMEME MARA MOJA!!

ELECTRICITY THEFT

Tampering with an electricity meter with the objective of stealing electricity is also a criminal offence. Theft of electricity is not only illegal but also dangerous because interference with electrical installations can result in short circuits leading to other hazards, which includes fire outbreak.
 
Ninaona tatizo kubwa linalomkabili Dr Idris ni interference ya politicians kwenye business plan yake. Wao wanataka kuwa please voters...yeye anataka ku turn around shirika litoe huduma nzuri...
 
MD wa TANESCO ni presidential appointee na kwa hiyo resignation letter anaiandika kwa rais, kwa hiyo sishangai rais kuwa involved.

Watu wanaongelea sana Tanga cement avumaye baharini papa kumbe kuna wengine, serikali ya mapinduzi inadaiwa kiasi gani na ina mpango gani kulipa?

Dr. Idris Rashid is supposd to be a man of integrity, word on the street is Kikwete aliikataa barua yake ya resignation.Wabongo tuna usiri usio na haja, sasa kama rais aliikataa resignation letter si tuseme tu rais kakataa? Kuna haja gani ya kuleta mambo ya kubadilisha mawazo?
 
Hakuna anayependa kupanda kwa bei ya umeme,lakini yeye kaambia aendeshe hilo shirika na wakati huohuo kanyimwa ruzuku.Hivi hata kama ni wewe utafanya nini? Si lazima ufuate taratibu za biashara na uchumi zinasemaje:Kama unatumia sh.200 kuzalisha unit moja huwezi kuuza sh.90 kwa unit.Lazima uuze zaidi ya sh.200. Hata akina mama wanaofanya biashara ya vitumbua wanajua hili sembuse msomi kama Dr,Idris!! Wanaopandisha bei sio akina Idris ni Viongozi wa Siasa walioingia mikataba mibovu.IPTL,Net Group,Kiwira na huu unaochunguzwa.Mie naamini huyu bwana alikuwa ameandika barua kujiuzuru ila JK kaingilia kati baada ya kuona kuna akili ndani yake.Hawa wanasiasa wanadharaulisha sana taaluma za watu.

Haujanielewa. Kama unazalisha umeme kwa shilingi mia mbili mimi nadhani kabla ya kupandisha bei unajiuliza hivi ni kweli lazima nizalishe kwa sh 200? Hata kwa hao wakina mama wauza vitumbua hawaamki siku moja wakatoka kwenye sh 200 kitumbua hadi sh 800 vuup bin vuup! Vitamdodea maana wateja watahamia kwenye mihogo! Hili msomi kama Dr. Idrisa anapaswa kulielewa. Ninachokisema kupandisha bei kitu si lazima utaongeza mapato. Sasa kama umeongeza mara tatu lakini kutokana na hilo wateja wawili wanaacha kununua huduma yako utakuwa umefanya nini? Pandisha, ndio, lakini iwe hatua ya mwisho na angalia usimpoteze mteja. Wenzetu wanapandisha lakini wanaangalia njia mbadala za kumwezesha mteja kulipia huduma. Kama nilivyosema awali, Tanzania ni moja ya nchi chache sana, ambapo mteja anaweza kupandishiwa bei kiasi hicho bila kulalamika. Ni lazima mameneja wawe wabunifu na waondoke katika zama za mteja ni mtu wa kuburuzwa tu. Kama nakumbuka sawasawa, nilisikia serikali ilibakiza ruzuku ya IPTL, hii haikuondolewa. Mimi bado nina wasiwasi na huyu Daktari. Atueleze kwanza amefanya nini kuongeza productivity na kupunguza matumizi ya shirika lake ndiyo nitakubaliana nae. Hizi hadithi za kuwa napandisha ili kufidia gharama kwangu mimi haziniridhishi. Narudia, tusiangalie usomi na uzawa, apimwe mtu kutokana na utendaji wake na maelezo anayoyatoa. Hao Net Group angalau walipoanza kukusanya madeni sugu walianzia Ikulu na Zanzibar. Sasa sisi tunakata umeme kwa mtu anayelipa milioni 500 kwa mwezi kwa mgogoro wa milioni 50. Tunauza ng'ombe kwa kesi ya kuku? Kwa mwendo huu tutaendelea kuliwa tu. Sisi ndio wanasiasa tusiwasingizie wageni.
 
Pandisha, ndio, lakini iwe hatua ya mwisho na angalia usimpoteze mteja. Wenzetu wanapandisha lakini wanaangalia njia mbadala za kumwezesha mteja kulipia huduma. Kama nilivyosema awali, Tanzania ni moja ya nchi chache sana, ambapo mteja anaweza kupandishiwa bei kiasi hicho bila kulalamika. .

Ndugu yangu F. Mchaundo

Kuna mambo mengi sana unataka kufanya investmet and kupanua investment ila linapokuja suala la Monopoly na siasa zikiwa ndani yake hayo ndio mambo.

Monopoly hawa haangalii mteja anaangalia profit maana mteja lazima anunue kwake kama sio vibatari na mishumaa.

Pili kuna optimal level of demand ambayo inapunguza some of the fixed cost na variable cost kwa maana nyingine probably TANESCO bado ipo kwenye increasing returns thus operational costs bado ni kkubwa na zitaendelea kuwa kubwa kama wateja hawataongezeka.
n.k n.k so naamini wamefikai mahali wakasema bila Govt subsidy hawawezi kuendelea kucharge that price
 
Nawahakikishia kuwa baada ya mwaka mmoja hawa mabwana watarudi tena na kutaka kuongeza bei kutokana na kupanda gharama za uendeshaji! NHC miaka nenda rudi wamekuwa wanapandisha pango ili wahudumie nyumba zao na hali ya nyumba zao tunaioona. Wanapaka rangi nyumba chache, biashara imekwisha. Ndio menejimenti ya kitanzania.
 
huyu jamaa angeruhusiwa kujiuzulu iwapo ingekuwa sababu za kutaka kujiuzulu kwake hazijuulikani. lakini sababu za kutaka kujiuzulu zilivuja mapema mno na ingekuwa aibu kubwa sana kwa serikali, kiasi cha kuamua kumtuliza na kumtaka abakie madarakani.

ingelikuwa si kuvuja kwa habari tungesikia dr idris kajiuzulu kwa sababu binafsi zilizoambatana na afya :d
 
Dr Rashid protested ‘interference’
DAILY NEWS Reporter
Daily News On Saturday; Saturday,November 24, 2007 @00:02

THE resignation of Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) Managing Director, Dr Idris Rashid, has been linked to meddling by his minister and board chairman in his decision to disconnect power at Tanga Cement Factory (TCC) early this week.

Reliable sources close to the board of directors and within Tanesco said that Dr Rashid resigned because the Board Chairman, Ambassador Fulgence Kazaura, ordered restoration of power at TCC some hours after it was disconnected on Tuesday. Other highly placed sources further said that Dr Rashid’s resignation was likely to be rejected and he would be required to continue with his post.

“The bottom-line is he will continue to be the chief executive officer of Tanesco”, said one source. When reached for comment, the Minister for Energy and Minerals, Mr Nazir Karamagi, admitted that Tanesco still needs the services of Dr Rashid. “I doubt if the TCC power issue is what prompted his decision to resign. There could be some other issues…but I cannot know for sure. Find out more”, said Mr Karamagi.

Sources, however, said that trouble started brewing at the power utility company since Dr Rashid was appointed and after he started introducing changes. Shortly after his appointment, Tanesco withdrew the vehicle that was being used by the chairman on a daily basis. The company also moved the chairman from a posh office that he was using at the former headquarters of the company.

The office, sources say, is now being occupied by the Tanesco Ilala Regional Manager. As for the TCC saga, sources said that Dr Rashid ordered power to be disconnected at the factory after getting an official report that TCC’s meter was tampered with and the company ignored Tanesco’s letter asking for settlement of an outstanding bill of 47m/-.

A few hours after the factory was halted, the Minister for Energy and Minerals, Mr Nazir Karamagi, called Dr Rashid and wanted power to be restored after explaining to him economic, political and social implications of such a move. Dr Rashid did not agree to rescind his decision and moments later Ambassador Kazaura called him and a conversion similar to that of Minister Karamagi followed but the MD, then, maintained his position.

Sources said, “Ambassador Kazaura called the Tanga Manager and ordered him to restore power. The manager did so immediately. When Dr Rashid got information that power was restored at TCC, he called the manager to disconnect power immediately and he obeyed.” Dr Rashid received the calls of Mr Karamagi and Ambassador Kazaura when he was in Arusha on Tuesday where public hearing session on the proposed 40 per cent tariff increase and 100 per cent up on connection charges was held.

Sources said: “Soon after arrival from Arusha on Wednesday he presented his resignation letter to the board chairman who convened an emergency meeting which endorsed it. “Dr Rashid told the members that he took the decision because the minister and the board chairman were interfering with operational issues of the company. Their role in relation to Tanesco is on policy issues and not operations.”

Minister Karamagi said he contacted Dr Rashid over the TCC power disconnection matter. He did so after getting a call from fellow minister for Industries, Trade and Marketing inquiring about the move taken by Tanesco. “I shared his concern over the repercussions in the light of the prevailing shortage of cement which forced the government to allow importation and following that decision the price of cement has started to go down.

“I contacted Dr Rashid because it was procedural. I also contacted the board chairman and directed him to deal with the matter. So who else could he have contacted if not Dr Rashid,” he quipped.

Its Karamagi at it again....
 
So should we believe that Dr Idris "attempted" to resign because of Tanga Cement saga? If ndeed this is true, how can he disconnect power to a client who settles a 450-500 million Tshs power bill every month, just because he failed to agree over payments of Tsh 49 million?

This is a puzzle to me, plz guys help.
 
Mbalamwezi:
That is a very good question, not forgeting he is an economist? guru!
 
This is a puzzle to me, plz guys help
.
Hii ilikuwa vita ya vifaru, nashindwa kuamini sababu kuwa ni hii bill ya siku tatu, unless ktk siku tatu hizo kumetokea ubadhilifu (kujaribu kuiba umeme).
Invoice ya Umeme wa Tanesco hutolewa kila mwezi na sio siku tatu, hata kama kulikuwa na makadirio ya hizo siku tatu imekuwaje hili swala lizingatie tu hizo millioni 49 za siku tatu wakati bill huonyesha gharama ya mwezi mzima?....Nashindwa kuamini kuwa Tanga cement walipelekewa invoice ya siku tatu kwani malipo hufanywa kwa kufuata bill na sio makadirio na mara nyingi sababu ya kukatiwa umeme haiwezi kuwa judged based on 3 days bali mwez/miezi ilopita.
Nafikiri kuna mengine hatuelewi!
 
Mkuu,

Tanga Cement wanasema fuse ya mita iliungua, na ilichukua siku 3 kubadilishwa na Tanesco. (Tanesco wakati huo waliruhusu umeme utumike pasi na mita, ikitumainiwa kuwa utakadiriwa mita ikianza kazi).

Hivyo hiyo 49 million ni makadirio ya 3 days, kwa kuwa isingewezekana kuweka kwenye bill kwa kuwa bill inahesabiwa na mita. Wakiwa wanalipa bill kila mwezi, hii 49 ikaanza kubishaniwa kuwa imekuzwa mno.

Jana Dr mwenyewe anasema issue ya Tanga ni mfano mmoja wapo tu wa kuingiliwa shughuli za operations na Karamagi na Kazaura.

Akasema: Wizara ni policymaker. Bodi ni approver. Mimi ni implementer. Saasa wao wanataka pia wawe implementers...hii inashangaza sana...nilishindwa"
 
Akasema: Wizara ni policymaker. Bodi ni approver. Mimi ni implementer. Saasa wao wanataka pia wawe implementers...hii inashangaza sana...nilishindwa"

Well, Pamoja na makosa ya Idrissa yaonyesha wazi kuwa Mtawala aliingilia swala bila kuwepo mawasiliano kati yao. Hapa ndio ngoma ya Utawala unavyofanya kazi...Nadhani kila mmoja wao ana sababu muhimu kwa mtazamo wake, na tukiingiza ile kukomoana basi mchezo huzidi kupendeza.
Ndio Bongo yetu hiyo hao hao Tanesco wanapotukatia/zima umeme kwa sababu za mitambo yao sidhani kama wapo radhi kulipa fidia ya hasara iliyotokana na wao.
haya na viongozi wetu nao wana mipango yao, unakumbuka waliwahi toa amri kufugulia bwawa la Mtera pale level ya maji ilipofikia chini wakadharau wataalam.. Matokeo yake ndio zikafuata ahadi za mvua za sayansi mara Richmond!.. in all huwezi ku pin point tatizo kwani matatizo yetu hupandiana kutokana na mabwana wengi.
 
Walijaribu kuwasiliana lakini jamaa akashikilia uzi! They should have just called his bluff and let him go. Bottom line, he is answerable to the board and not otherwise. Hawa ndio viongozi tuliowazoea. Angechagua issue nyingine ya kusimamia principles lakini sio hii. Tanesco ni bullies na ndivyo walivyozoea. Hawa mabwana ilikuwa ukitaka umeme unaambiwa uvute, wanakutoza gharama ya transformer, nguzo,nyaya,vikombe etc. halafu wanakwambia ni mali yao! Sidhani kama walikuwa wanakurejeshea gharama zako. Na sidhani kama mtu mwingine akitaka kuunganisha kwenye umeme uliovuta Tanesco wanakugawia mgao maana ni wewe uliyevuta! Wanakuletea inflated bill, ukibisha unaambiwa lipa kwanza ndio tujadiliane! Ndivyo tulivyozoea. Sasa leo unamkatia mteja anayelipa 500 milion kwa mwezi kwa ugomvi wa million 50 na wakati kuna uhaba wa taifa wa bidhaa zake! Akielezwa, anasema msiniingilie! Na wanaomueleza na waajiri wake! Anapunguza gharama kwa mnyang'anya Mwenekiti wa bodi yake gari na ofisi! Mimi ningetegemea angetoa comprehensive proposals za kupunguza matumizi ambamo hilo la gari lingejumuishwa. Kwa hivi alivyofanya mimi naona ni pure pettyness na pure arrogance. Wangemwachia aende na kuheadhunt mtu wa kulinusuru shirika.
 
Umejuaje hafanyi hayo uliyosema?!
 
I think all i can hear is personal opinions, huyu jamaa ameshasifiwa sana kwamba yeye ni msomi. Then nini kimemfanya awithdraw his decion? Kama Jamaa ni msomi na anamini kwamba sometime you have to withdraw, so you can let other leads, then what happened to him?

Nilivyosikia kujiuzulu kwakwe, nilimpongeza. Sababu strategy yake kuongeza bill ya umeme kwa 40% was unapplicable. Then nikaseme the guy is educated and he knows kama your strategy doesnt work, you better step down.

Now, i have to withdraw all salutes that i gave him. This guy shows inadeuates in decisions making. This has nothing to do with CCM, i repeat this has nothing to do with CCM. This has to do with Dr Idrisa with his flip flop decisions.

If I decide i wanna resign, guess what i'm going to resign. So the guy shows weakness, incapable of decison making and a flip floper. Do we need this kind of leardership in our corparations?
 
Umejuaje hafanyi hayo uliyosema?!

Baraza la Ushauri la Serikali, katika tamko lake limesema uamuzi huo wa Tanesco kutaka kuongeza gharama hizo unathibitisha halikutekeleza kikamilifu agizo la Ewura la Januari 10, mwaka huu.

Akisoma tamko hilo la baraza hilo, Mkurugenzi wa baraza hilo Juliana Lema, alisema matokeo ya kutotekeleza agizo hilo ni kukosekana kwa nyaraka muhimu ambazo zingesaidia katika kufanya tathimini ya maombi hayo ya Tanesco.

Lema alifafanua kwamba, hatua ya Tanesco kutoanisha manufaa na madhara ya kuongeza ada zake husunani katika mazingira kutasababisha watumiaji wa nishati ya umeme katika kupikia kuhamia katika matumizi ya mkaa hivyo kuongeza kasi ya uharibifu wa mazingira.

Sio peke yangu, mheshimiwa mtazama pande zote! Sasa kama wewe una ripoti ya Tanesco inayozungumzia haya basi tueleze!! Nitashukuru ukinielimisha.
 
Back
Top Bottom