Kukukuta sihofi...Nitakukuta tu. Subiri uje kustaajabu.si bora unikute
Unanisema mimi ? Ujue uko na bro kwa sababu mimi ndio namshika masikio..? [emoji23][emoji23]Hawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia.
Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew
Naona kuna wakaka wanahangaika kujipendekeza kwa threads kibao za kujibebisha kwa mabebezi [emoji57][emoji57][emoji57] ili mpendwe na mjibiwe PM zenuu mxeeew mnajidanganya.
Habari ya mujini ni I'd kongwee tena wala hazipo chitchat wala MMU wapo majukwaa ya biashara huko mtu anaulizia jinsi ya kuanzisha kampuni au mradi wa kufuga kuku eeeh utaachaje kujibu PM yakee [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Eeeh sasa Demiss nimeshasema habari ya mujini ni I'd kongwee za kuanzia 2000 mpaka 2015 hiyo ndo habari ya mujini weeeh
Ukija kwangu unalike na kujipendekeza usizan nitakufeeel walaa unajidanganya mabebez wanaopenda hivyooo nawaambia hivi mnaingizwaa chakaaaaaa.
Kwanza mkae mkijua mchawi pesaaaaaaaaaaaaa.
Acheni kupoteza muda kwa kujibebisha kwa wabebez I'd kongwe zinawacheka kihutuuuu maana wanafauduuu kimyakimyaaaa.
Mke wa kalumanzila hapaaaa Demiss.
Jaribu uwe unatumia herufi au maneno,maana hizo alama huwa sielewi maana yake nini.πππ
Halafu ujue mimi na bro tunakuchora aisee [emoji849][emoji849]Yaaaah hapo ndo wanawake tulipowashindaaa
Jaribu uwe unatumia herufi au maneno,maana hizo alama huwa sielewi maana yake nini.
Na lengo la kuwasiliana ni kuelewana kila mmoja..
Niko chini ya miguu yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jaribu uwe unatumia herufi au maneno,maana hizo alama huwa sielewi maana yake nini.
Na lengo la kuwasiliana ni kuelewana kila mmoja..
Niko chini ya miguu yako.
Huu "iseni" msamiati mpya kwangu. Una maana gani ?hhahhaah watu mlotoka iseni jaman mna shidaaaaa
Mtoa mada anataka ID kongwe wakati yeye mwenyewe ana mwaka JF...Mtoa mada sikulaumu hayo ni maono yako.
Kwako mwalimu kashasha
Halafu ujue mimi na bro tunakuchora aisee [emoji849][emoji849]
Daaaah ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaaah !
vijiji fulani hv pande za mwanza !ambapo wanajua magu nchi ni yake .kumbe ni yet soteHuu "iseni" msamiati mpya kwangu. Una maana gani ?
Ndio tabia yake kuniwekea ma alama alama mara Dπ: mara ); yaani huwa ananitoa katika reli kinom noma.Nimecheka sana umeamua kutoa la moyoni
Haina noma. Wewe subiri nikuibukie ndio utajua mimi wa Iseni au Kisumba !vijiji fulani hv pande za mwanza !ambapo wanajua magu nchi ni yake .kumbe ni yet sote
Hahahaaa. Bora aiseee.Nimeona mtani nikatia dole gumba,mie humu mtani huwa nakuja kuzuga tu ,kufurahi furahi ,nyuzi km hz
Ila mtani nasikia kuna MTU anataka kubeba mabegi yake kwenye mambo yetu yal
Ndo nashangaa sasaMtoa mada anataka ID kongwe wakati yeye mwenyewe ana mwaka JF...
Kwako Kamarade Enock!!
kadri papuchi inavyokua changa ndivyo thamani yake ilivyo juuhhahahaa hayo ni "mazara" ya mtu mzima kuoa katoto kaduchu!lazima.....mpe pole bro
hehehehehHaina noma. Wewe subiri nikuibukie ndio utajua mimi wa Iseni au Kisumba !