Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mm nitakuwa KIHONGWEHawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia.
Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew
Naona kuna wakaka wanahangaika kujipendekeza kwa threads kibao za kujibebisha kwa mabebezi [emoji57][emoji57][emoji57] ili mpendwe na mjibiwe PM zenuu mxeeew mnajidanganya.
Habari ya mujini ni I'd kongwee tena wala hazipo chitchat wala MMU wapo majukwaa ya biashara huko mtu anaulizia jinsi ya kuanzisha kampuni au mradi wa kufuga kuku eeeh utaachaje kujibu PM yakee [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Eeeh sasa Demiss nimeshasema habari ya mujini ni I'd kongwee za kuanzia 2000 mpaka 2015 hiyo ndo habari ya mujini weeeh
Ukija kwangu unalike na kujipendekeza usizan nitakufeeel walaa unajidanganya mabebez wanaopenda hivyooo nawaambia hivi mnaingizwaa chakaaaaaa.
Kwanza mkae mkijua mchawi pesaaaaaaaaaaaaa.
Acheni kupoteza muda kwa kujibebisha kwa wabebez I'd kongwe zinawacheka kihutuuuu maana wanafauduuu kimyakimyaaaa.
Mke wa kalumanzila hapaaaa Demiss.
SAWAPoleee unakosa mengii
Na ndotoni pia maana ndio kuzuri zaidi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utaendelea kula kwa macho milele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja na mimi nijibebishe kwako
Sawaa but ni kweli ckuhz humu hampendi tena pesa mnataka I'd za zamanihhahahh wala sipo apa kutafuta mm
Sawaa but ni kweli ckuhz humu hampendi tena pesa mnataka I'd za zamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila naona hii ndoto imekukaa sana itakua unafauduu
Haya utakavyooona ndo hivyo I'd kongwee habari ya mujiniiiWewe unauhakika gani kama wanaotoa like lengo lao nikufuata PM? .
Unauhakika gani nyuzi zinazowekwa nawatu lengoni kupendwa?? Kwa Dunia yasasa kuna mtu anatafutwa kupendwa??
Wewe unavyoandikaga nyuzi humu, huwa unatafuta Wanaume ??? .
[emoji6] tunaweka mambo sawa !!!
Kumbe hio ndio siri ya ushindi.
Hawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia.
Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew
Naona kuna wakaka wanahangaika kujipendekeza kwa threads kibao za kujibebisha kwa mabebezi [emoji57][emoji57][emoji57] ili mpendwe na mjibiwe PM zenuu mxeeew mnajidanganya.
Habari ya mujini ni I'd kongwee tena wala hazipo chitchat wala MMU wapo majukwaa ya biashara huko mtu anaulizia jinsi ya kuanzisha kampuni au mradi wa kufuga kuku eeeh utaachaje kujibu PM yakee [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Eeeh sasa Demiss nimeshasema habari ya mujini ni I'd kongwee za kuanzia 2000 mpaka 2015 hiyo ndo habari ya mujini weeeh
Ukija kwangu unalike na kujipendekeza usizan nitakufeeel walaa unajidanganya mabebez wanaopenda hivyooo nawaambia hivi mnaingizwaa chakaaaaaa.
Kwanza mkae mkijua mchawi pesaaaaaaaaaaaaa.
Acheni kupoteza muda kwa kujibebisha kwa wabebez I'd kongwe zinawacheka kihutuuuu maana wanafauduuu kimyakimyaaaa.
Mke wa kalumanzila hapaaaa Demiss.
Heading ya uzi na story vitu viwili tofauti, sijui kama unajua ulichoandika
Kadri mnavyozidi kutupa changamoto ndivyo tunavyozidi kuvumbua njia mbadala...Ukujeee