ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Hawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia.

Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew

Naona kuna wakaka wanahangaika kujipendekeza kwa threads kibao za kujibebisha kwa mabebezi [emoji57][emoji57][emoji57] ili mpendwe na mjibiwe PM zenuu mxeeew mnajidanganya.

Habari ya mujini ni I'd kongwee tena wala hazipo chitchat wala MMU wapo majukwaa ya biashara huko mtu anaulizia jinsi ya kuanzisha kampuni au mradi wa kufuga kuku eeeh utaachaje kujibu PM yakee [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]

Eeeh sasa Demiss nimeshasema habari ya mujini ni I'd kongwee za kuanzia 2000 mpaka 2015 hiyo ndo habari ya mujini weeeh

Ukija kwangu unalike na kujipendekeza usizan nitakufeeel walaa unajidanganya mabebez wanaopenda hivyooo nawaambia hivi mnaingizwaa chakaaaaaa.
Kwanza mkae mkijua mchawi pesaaaaaaaaaaaaa.

Acheni kupoteza muda kwa kujibebisha kwa wabebez I'd kongwe zinawacheka kihutuuuu maana wanafauduuu kimyakimyaaaa.

Mke wa kalumanzila hapaaaa Demiss.
Basi mm nitakuwa KIHONGWE
 
Wewe unauhakika gani kama wanaotoa like lengo lao nikufuata PM? .

Unauhakika gani nyuzi zinazowekwa nawatu lengoni kupendwa?? Kwa Dunia yasasa kuna mtu anatafutwa kupendwa??

Wewe unavyoandikaga nyuzi humu, huwa unatafuta Wanaume ??? .

[emoji6] tunaweka mambo sawa !!!
Haya utakavyooona ndo hivyo I'd kongwee habari ya mujiniii
 
Wenye I'd kongwe mkuje na pm kwangu jamani

Back
Top Bottom