Kwa hiyo na mimi nilieiacha ile I'd yangu kongwe nikaanza na hii mpya unaniweka kundi gani
Huu mwaka unaenda kuisha vibaya.
-Kwenye wazee wa miamala simo.
-watu maarufu simo.
-Kwa wazee wa ID kongwe simo.
Acha nirudi facebook!
Nimefungua mda sanaWanakuja wewe fungua ufaid matunda
πππ nimecheka Dada.Nakuomba pm we mkongwe
Hahaaaaah...but mademu wa humu huwa hawashoboki na mtu aiseee mpaka wagundue unahela...hii ya I'd ya zamani ndo mpya meisikia leo...inabidi nikafufue ile I'd yangu ya zamani nisije poteza bahati bureπππ na wakt hawa hawa madem wanaoshoboka humu wapo kitaan na wanapigwa free Pπ
Umenipunguzia idadi ya maneno,Ahsante.πππ na wakt hawa hawa madem wanaoshoboka humu wapo kitaan na wanapigwa free Pπ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jichekee tu dada akee mambo ya jf yanachekesha sana humu yaani[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka Dada.
Wakati hao hao wengine wana id mpya wanakuja kama watoto wadogo vile kumbe wana id zina miaka kibao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mie nadhani kama nawaza kinyume chako mdogo wangu ujue kuna watu id zao za mwaka jana au mwaka huu ila ni watu wanaojitambua kuliko hao wenye id za kale.
Kuna wengine wana id za kitambo ila vimyaka vyao waeza kaa chini ucheke kutwa nzima yaani ni vitoto.
Basi ngoja nikafufue tu ile I'd yangu ya zamaniSasa hivi we ni mpya
Basi ngoja nikafufue tu ile I'd yangu ya zamani
Nilipoona hio heading yake nikafkiri id za zamni zilipelekea mtu katika mafanikio.Mie nadhani kama nawaza kinyume chako mdogo wangu ujue kuna watu id zao za mwaka jana au mwaka huu ila ni watu wanaojitambua kuliko hao wenye id za kale.
Kuna wengine wana id za kitambo ila vimyaka vyao waeza kaa chini ucheke kutwa nzima yaani ni vitoto tena visivyojitambua kabisaaa.
Nipo toka enzi ya JAMBO FORUM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwann
Acha tu Dada. Mie najionea uzee sijui ujana wa Id si lolote kwani kwa fake Id hizi mambo huwa ni kinyume kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jichekee tu dada akee mambo ya jf yanachekesha sana humu yaani