ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Mie nadhani kama nawaza kinyume chako mdogo wangu ujue kuna watu id zao za mwaka jana au mwaka huu ila ni watu wanaojitambua kuliko hao wenye id za kale.

Kuna wengine wana id za kitambo ila vimyaka vyao waeza kaa chini ucheke kutwa nzima yaani ni vitoto tena visivyojitambua kabisaaa.
 
Nilipoona hio heading yake nikafkiri id za zamni zilipelekea mtu katika mafanikio.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jichekee tu dada akee mambo ya jf yanachekesha sana humu yaani
Acha tu Dada. Mie najionea uzee sijui ujana wa Id si lolote kwani kwa fake Id hizi mambo huwa ni kinyume kabisa.

Hatukatai wazee wapo wenye Id kongwe ila na watoto pia wapo.

Na wenye id mpya watoto wapo na wakubwa pia wapo tena wanajitambua kuliko kawaida Dada 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom