TANZANIA NCHIYANGU
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 633
- 805
Nimeona aiseee..makundi yote ya wanaosifiwa mi sipo...ID kongwe sipo,wenye hela sipo,madaktari sipo...sjui zamu yangu mi mbeba zege liniKafufue si unaona wakongwe wanavyosifiwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kumbe 2015 ni wakongwe!!! Ngoja nianze kujibabusha
Hahahaaa. Ndio ukweli huo mdogo wangu.Dada
Nimependa mstari wa mwisho tu
Mmmmh jiranNiunganishe basi kwa id kongwe mojawapo tuyajenge shost
Hahahaaa. Jamaanii.Nilipoona hio heading yake nikafkiri id za zamni zilipelekea mtu katika mafanikio.
Hahahaaaaa. Unawafariji eeeee.Wanaume wenzangu wa JF mlio na ID changa msivunjike moyo...
kwani Mwajuma wa Jf anayelilia ID kongwe ndio yuleee Mwantumu wa mtaani kwenu anayeshobokea kibaby walker chako
nasemajeeee msivunjike moyoo pambaneni tuu hamna namna π
cha msingi ukimpata demu mtaani wewe jenga taswira ndio huyu wa Jf anayetumia ID ya ____ππ
Ahsante Mkuu chukua like yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume wenzangu wa JF mlio na ID changa msivunjike moyo...
kwani Mwajuma wa Jf anayelilia ID kongwe ndio yuleee Mwantumu wa mtaani kwenu anayeshobokea kibaby walker chako
nasemajeeee msivunjike moyoo pambaneni tuu hamna namna [emoji23]
cha msingi ukimpata demu mtaani wewe jenga taswira ndio huyu wa Jf anayetumia ID ya ____[emoji23][emoji23]
wanaume hatutupani siunajua tena dada anguππππHahahaaaaa. Unawafariji eeeee.
πππππ Lao leo hili dongo. Teh teh teh
Mie nadhani kama nawaza kinyume chako mdogo wangu ujue kuna watu id zao za mwaka jana au mwaka huu ila ni watu wanaojitambua kuliko hao wenye id za kale.
Kuna wengine wana id za kitambo ila vimyaka vyao waeza kaa chini ucheke kutwa nzima yaani ni vitoto tena visivyojitambua kabisaaa.
Hahaaaa. Kabisaaaa.wanaume hatutupani siunajua tena dada anguππππ
nimeipokea kwa mikono miwili mkuu ππ...Ahsante Mkuu chukua like yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umepotea sanaNiunganishe basi kwa id kongwe mojawapo tuyajenge shost
Acha tu Dada. Mie najionea uzee sijui ujana wa Id si lolote kwani kwa fake Id hizi mambo huwa ni kinyume kabisa.
Hatukatai wazee wapo wenye Id kongwe ila na watoto pia wapo.
Na wenye id mpya watoto wapo na wakubwa pia wapo tena wanajitambua kuliko kawaida Dada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona aiseee..makundi yote ya wanaosifiwa mi sipo...ID kongwe sipo,wenye hela sipo,madaktari sipo...sjui zamu yangu mi mbeba zege lini
Hahahaha na kweli tusimpinge mawazo yakeHahahaaa. Ndio ukweli huo mdogo wangu.
Japokuwa tusipingane pia na mawazo ya Demiss huenda kwa upande wake ndio anaona hivyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi ndo wanaume huokolea Mkuu [emoji120] [emoji120]nimeipokea kwa mikono miwili mkuu [emoji23][emoji23]...