ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Wanaume wenzangu wa JF mlio na ID changa msivunjike moyo...

kwani Mwajuma wa Jf anayelilia ID kongwe ndio yuleee Mwantumu wa mtaani kwenu anayeshobokea kibaby walker chako

nasemajeeee msivunjike moyoo pambaneni tuu hakuna namna 😂

cha msingi ukimpata demu mtaani wewe jenga taswira ndio huyu wa Jf anayetumia ID ya ____😂😂
 
Wanaume wenzangu wa JF mlio na ID changa msivunjike moyo...

kwani Mwajuma wa Jf anayelilia ID kongwe ndio yuleee Mwantumu wa mtaani kwenu anayeshobokea kibaby walker chako

nasemajeeee msivunjike moyoo pambaneni tuu hamna namna 😂

cha msingi ukimpata demu mtaani wewe jenga taswira ndio huyu wa Jf anayetumia ID ya ____😂😂
Hahahaaaaa. Unawafariji eeeee.

😂😂😂😂😂 Lao leo hili dongo. Teh teh teh
 
Wanaume wenzangu wa JF mlio na ID changa msivunjike moyo...

kwani Mwajuma wa Jf anayelilia ID kongwe ndio yuleee Mwantumu wa mtaani kwenu anayeshobokea kibaby walker chako

nasemajeeee msivunjike moyoo pambaneni tuu hamna namna [emoji23]

cha msingi ukimpata demu mtaani wewe jenga taswira ndio huyu wa Jf anayetumia ID ya ____[emoji23][emoji23]
Ahsante Mkuu chukua like yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani unachowaza dada akee na mm hiko yaani mambo ni kinyume kabisa

Mtu ana I'd kongwe kwa mawazo ya demiss atajua mtu mzima kumbe mtu yupo sawa na mdogo wake wa mwisho

Wapo wakongwe wa I'd kongwe lakini sio wote ni watu wazima wengine watoto
Acha tu Dada. Mie najionea uzee sijui ujana wa Id si lolote kwani kwa fake Id hizi mambo huwa ni kinyume kabisa.

Hatukatai wazee wapo wenye Id kongwe ila na watoto pia wapo.

Na wenye id mpya watoto wapo na wakubwa pia wapo tena wanajitambua kuliko kawaida Dada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom