ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Ewaaaaa insta babe kama unavyomjenga shunie wako

Nakuja pm kwenye wakongwe insta babe upo wewe usiniangushe sasa
 
Wanasema mtu mzima dawa!

ila trust me, kuna wajinga wamezeeka. Next week, I'm turning 18 years old!

I can't wait!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Ewaaaaa insta babe kama unavyomjenga shunie wako

Nakuja pm kwenye wakongwe insta babe upo wewe usiniangushe sasa
kabisaaaa insta babe....nawapa mbinu kidogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ siwezi kukuangusha hata kidogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani unachowaza dada akee na mm hiko yaani mambo ni kinyume kabisa

Mtu ana I'd kongwe kwa mawazo ya demiss atajua mtu mzima kumbe mtu yupo sawa na mdogo wake wa mwisho

Wapo wakongwe wa I'd kongwe lakini sio wote ni watu wazima wengine watoto
Na hasa kwa fake id hizi ni ngumu sana kujiaminisha maneno ya demiss.

Ila huwezi jua ngoja aje na yeye atuambie.

Cc. Demiss
 
Hahaha
Unawajaza na i'd zao mpya
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ siwajazi bwana...

insta babe unajua mnaweza pishana na gari la mshahara kisa ukongwe wa ID ..Kuna madoni ya madini yamejiunga JF mwaka huu mjue πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…