ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Ewaaaaa insta babe kama unavyomjenga shunie wako

Nakuja pm kwenye wakongwe insta babe upo wewe usiniangushe sasa
Wanaume wenzangu wa JF mlio na ID changa msivunjike moyo...

kwani Mwajuma wa Jf anayelilia ID kongwe ndio yuleee Mwantumu wa mtaani kwenu anayeshobokea kibaby walker chako

nasemajeeee msivunjike moyoo pambaneni tuu hakuna namna [emoji23]

cha msingi ukimpata demu mtaani wewe jenga taswira ndio huyu wa Jf anayetumia ID ya ____[emoji23][emoji23]
 
Wanasema mtu mzima dawa!

ila trust me, kuna wajinga wamezeeka. Next week, I'm turning 18 years old!

I can't wait!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Ewaaaaa insta babe kama unavyomjenga shunie wako

Nakuja pm kwenye wakongwe insta babe upo wewe usiniangushe sasa
kabisaaaa insta babe....nawapa mbinu kidogo 😂😂😂 siwezi kukuangusha hata kidogo 😂😂😂
 
Yaani unachowaza dada akee na mm hiko yaani mambo ni kinyume kabisa

Mtu ana I'd kongwe kwa mawazo ya demiss atajua mtu mzima kumbe mtu yupo sawa na mdogo wake wa mwisho

Wapo wakongwe wa I'd kongwe lakini sio wote ni watu wazima wengine watoto
Na hasa kwa fake id hizi ni ngumu sana kujiaminisha maneno ya demiss.

Ila huwezi jua ngoja aje na yeye atuambie.

Cc. Demiss
 
Back
Top Bottom