Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aty kutumwa na mama zao.Hahahaha yeye akishawaona uko kwenye jukwaa la ujasiriamali an a changing I kids kumbe hajui wengine wanatumwa na wazazi wao
Chief unamajirani wengi hongela sanaMmmmh jiran
Nakuja pm tuzungumzie kuhusu kilimo cha chura wale wakubwaHawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia.
Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew
Naona kuna wakaka wanahangaika kujipendekeza kwa threads kibao za kujibebisha kwa mabebezi [emoji57][emoji57][emoji57] ili mpendwe na mjibiwe PM zenuu mxeeew mnajidanganya.
Habari ya mujini ni I'd kongwee tena wala hazipo chitchat wala MMU wapo majukwaa ya biashara huko mtu anaulizia jinsi ya kuanzisha kampuni au mradi wa kufuga kuku eeeh utaachaje kujibu PM yakee [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Eeeh sasa Demiss nimeshasema habari ya mujini ni I'd kongwee za kuanzia 2000 mpaka 2015 hiyo ndo habari ya mujini weeeh
Ukija kwangu unalike na kujipendekeza usizan nitakufeeel walaa unajidanganya mabebez wanaopenda hivyooo nawaambia hivi mnaingizwaa chakaaaaaa.
Kwanza mkae mkijua mchawi pesaaaaaaaaaaaaa.
Acheni kupoteza muda kwa kujibebisha kwa wabebez I'd kongwe zinawacheka kihutuuuu maana wanafauduuu kimyakimyaaaa.
Mke wa kalumanzila hapaaaa Demiss.
ajui kuwa katumwa na baba atafute soko la kuku mtandaoni demiss akiona anachanganyikiwa ππππHahahaha yeye akishawaona uko kwenye jukwaa la ujasiriamali an a changing I kids kumbe hajui wengine wanatumwa na wazazi wao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siwajazi bwana...
insta babe unajua mnaweza pishana na gari la mshahara kisa ukongwe wa ID ..Kuna madoni ya madini yamejiunga JF mwaka huu mjue [emoji23]
niko safi Mungu ni mwema.. huyu mama mganga hakosagi kuwashwawashwa leo kaamkia kwenye Id kongwe wakati tuliisha zizikaSafi za wewe nimefurahi ulivyoshangaa
πππMie nadhani kama nawaza kinyume chako mdogo wangu ujue kuna watu id zao za mwaka jana au mwaka huu ila ni watu wanaojitambua kuliko hao wenye id za kale.
Kuna wengine wana id za kitambo ila vimyaka vyao waeza kaa chini ucheke kutwa nzima yaani ni vitoto tena visivyojitambua kabisaaa.
Kabisaaaa Dada.Hahahaha na kweli tusimpinge mawazo yake
Hahahaha ndio mkuu sio wote wakongwe ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] aty kutumwa na mama zao.
Wanajidogoshaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka Dada.
Wakati hao hao wengine wana id mpya wanakuja kama watoto wadogo vile kumbe wana id zina miaka kibao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
ajui kuwa katumwa na baba atafute soko la kuku mtandaoni demiss akiona anachanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaa. Nimechekaaaa.Hahahaha yeye akishawaona uko kwenye jukwaa la ujasiriamali anachanganyikiwa kumbe hajui wengine wanatumwa na wazazi wao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kesho tutakuja na wenye I'd za kingerezaHahaaaaah...but mademu wa humu huwa hawashoboki na mtu aiseee mpaka wagundue unahela...hii ya I'd ya zamani ndo mpya meisikia leo...inabidi nikafufue ile I'd yangu ya zamani nisije poteza bahati bure
niko safi Mungu ni mwema.. huyu mama mganga hakosagi kuwashwawashwa leo kaamkia kwenye Id kongwe wakati tuliisha zizika