ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Hawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia.

Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew

Naona kuna wakaka wanahangaika kujipendekeza kwa threads kibao za kujibebisha kwa mabebezi [emoji57][emoji57][emoji57] ili mpendwe na mjibiwe PM zenuu mxeeew mnajidanganya.

Habari ya mujini ni I'd kongwee tena wala hazipo chitchat wala MMU wapo majukwaa ya biashara huko mtu anaulizia jinsi ya kuanzisha kampuni au mradi wa kufuga kuku eeeh utaachaje kujibu PM yakee [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]

Eeeh sasa Demiss nimeshasema habari ya mujini ni I'd kongwee za kuanzia 2000 mpaka 2015 hiyo ndo habari ya mujini weeeh


Ukija kwangu unalike na kujipendekeza usizan nitakufeeel walaa unajidanganya mabebez wanaopenda hivyooo nawaambia hivi mnaingizwaa chakaaaaaa.
Kwanza mkae mkijua mchawi pesaaaaaaaaaaaaa.


Acheni kupoteza muda kwa kujibebisha kwa wabebez I'd kongwe zinawacheka kihutuuuu maana wanafauduuu kimyakimyaaaa.

Mke wa kalumanzila hapaaaa Demiss.
Nakuja pm tuzungumzie kuhusu kilimo cha chura wale wakubwa
 
Mie nadhani kama nawaza kinyume chako mdogo wangu ujue kuna watu id zao za mwaka jana au mwaka huu ila ni watu wanaojitambua kuliko hao wenye id za kale.

Kuna wengine wana id za kitambo ila vimyaka vyao waeza kaa chini ucheke kutwa nzima yaani ni vitoto tena visivyojitambua kabisaaa.
😀😀😀
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka Dada.

Wakati hao hao wengine wana id mpya wanakuja kama watoto wadogo vile kumbe wana id zina miaka kibao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wanajidogoshaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaaaah...but mademu wa humu huwa hawashoboki na mtu aiseee mpaka wagundue unahela...hii ya I'd ya zamani ndo mpya meisikia leo...inabidi nikafufue ile I'd yangu ya zamani nisije poteza bahati bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kesho tutakuja na wenye I'd za kingereza
 
Back
Top Bottom