ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Typical Mind of a hooker,

Anyway ni free country kila mtu yupo free kuexpress mawazo yake,
 
Ndio mana tunamwambia demiss sio wote wenye I'd kongwe ni wakongwe insta babe
kuna watu walijiunga jf wakiwa form 1... mfano juzi hapa kuna mdau ID yake ni ya 2013 ila ndio kamaliza six mwaka huu alileta uzi anaulizia mambo ya confirmation code za TCU ... sasa demis siku ya meeting anashangaa anaambiwa aende mabibo hostel πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtapata tabu sana kulike na kujibebisha kwa wabebez hampati kitu I'd kama kongwee unawin PM freeeeeeee[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Vita ya I'd mupya na kongwee mambo ni hivii[emoji91] [emoji91] [emoji91] nipo upande wa I'd kongweee heko kwaoo ndo wanaonipa jeuri Jf
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa niaba baba hajui jf dogo si huwa anampa habari za jf acha nijichekee mie
Hahahaaaa. Wakuta akiulizwa maswali anamuuliza kwanza baba nijibuje hapa akishajibu unajua mzeee kuumbe. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jf idumu jamaani Dada.
 
Kipindi Jamii Forum inakiki miaka ya 2010 huko mi niko University mwaka wa tatu, ila sikuwaza kujiunga nimejiunga mwaka huu just for fun, so nyie wote wenye ID kongwe bado wadogo tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya ndio tunayazungumzia na ndugu yangu Hajar insta babe mambo ya jf ni vice versa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…