ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

Hawa ndo watu ninaowapenda na kuwazimikia.

Eti mnakaa mnadanganyana kulike na kureply comment za wabebez ukienda PM watakuelewa ptuuuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]mnajidanganyaaa mxeeew

Naona kuna wakaka wanahangaika kujipendekeza kwa threads kibao za kujibebisha kwa mabebezi [emoji57][emoji57][emoji57] ili mpendwe na mjibiwe PM zenuu mxeeew mnajidanganya.

Habari ya mujini ni I'd kongwee tena wala hazipo chitchat wala MMU wapo majukwaa ya biashara huko mtu anaulizia jinsi ya kuanzisha kampuni au mradi wa kufuga kuku eeeh utaachaje kujibu PM yakee [emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]

Eeeh sasa Demiss nimeshasema habari ya mujini ni I'd kongwee za kuanzia 2000 mpaka 2015 hiyo ndo habari ya mujini weeeh


Ukija kwangu unalike na kujipendekeza usizan nitakufeeel walaa unajidanganya mabebez wanaopenda hivyooo nawaambia hivi mnaingizwaa chakaaaaaa.
Kwanza mkae mkijua mchawi pesaaaaaaaaaaaaa.


Acheni kupoteza muda kwa kujibebisha kwa wabebez I'd kongwe zinawacheka kihutuuuu maana wanafauduuu kimyakimyaaaa.

Mke wa kalumanzila hapaaaa Demiss.
Typical Mind of a hooker,

Anyway ni free country kila mtu yupo free kuexpress mawazo yake,
 
Ndio mana tunamwambia demiss sio wote wenye I'd kongwe ni wakongwe insta babe
kuna watu walijiunga jf wakiwa form 1... mfano juzi hapa kuna mdau ID yake ni ya 2013 ila ndio kamaliza six mwaka huu alileta uzi anaulizia mambo ya confirmation code za TCU ... sasa demis siku ya meeting anashangaa anaambiwa aende mabibo hostel 😂😂😂😂
 
Wanaume wenzangu wa JF mlio na ID changa msivunjike moyo...

kwani Mwajuma wa Jf anayelilia ID kongwe ndio yuleee Mwantumu wa mtaani kwenu anayeshobokea kibaby walker chako

nasemajeeee msivunjike moyoo pambaneni tuu hakuna namna [emoji23]

cha msingi ukimpata demu mtaani wewe jenga taswira ndio huyu wa Jf anayetumia ID ya ____[emoji23][emoji23]
Mtapata tabu sana kulike na kujibebisha kwa wabebez hampati kitu I'd kama kongwee unawin PM freeeeeeee[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Wanaume wenzangu wa JF mlio na ID changa msivunjike moyo...

kwani Mwajuma wa Jf anayelilia ID kongwe ndio yuleee Mwantumu wa mtaani kwenu anayeshobokea kibaby walker chako

nasemajeeee msivunjike moyoo pambaneni tuu hakuna namna [emoji23]

cha msingi ukimpata demu mtaani wewe jenga taswira ndio huyu wa Jf anayetumia ID ya ____[emoji23][emoji23]
Vita ya I'd mupya na kongwee mambo ni hivii[emoji91] [emoji91] [emoji91] nipo upande wa I'd kongweee heko kwaoo ndo wanaonipa jeuri Jf
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa niaba baba hajui jf dogo si huwa anampa habari za jf acha nijichekee mie
Hahahaaaa. Wakuta akiulizwa maswali anamuuliza kwanza baba nijibuje hapa akishajibu unajua mzeee kuumbe. 😂😂😂😂😂

Jf idumu jamaani Dada.
 
Kipindi Jamii Forum inakiki miaka ya 2010 huko mi niko University mwaka wa tatu, ila sikuwaza kujiunga nimejiunga mwaka huu just for fun, so nyie wote wenye ID kongwe bado wadogo tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya ndio tunayazungumzia na ndugu yangu Hajar insta babe mambo ya jf ni vice versa
kuna watu walijiunga jf wakiwa form 1... mfano juzi hapa kuna mdau ID yake ni ya 2013 ila ndio kamaliza six mwaka huu alileta uzi anaulizia mambo ya confirmation code za TCU ... sasa demis siku ya meeting anashangaa anaambiwa aende mabibo hostel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom